Waziri wa Ulinzi, Innocent Bashungwa amemwakilisha Rais Samia Suhulu Hassan kwenye misa ya kumuombea Hayati Dk. John Pombe Joseph Magufuli leo Machi 17 2023 nyumbani kwa Hayati Magufuli Chato mkoa wa Geita.
Nanukuu
"Nimepata heshima ya kumuwakilisha mhe. Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye misa ya kumuombea mzee wetu mpendwa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, leo Machi 17 ambapo ni miaka miwili tangu ameitwa na Mwenyezi Mungu. Endelea kupumzika kwa amani uncle JPM"