johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Halafu Bwashee mwambie Mzee wako atatuharibia Nchi sasa kwa majina ya watu! Yaani kila kitu kinaitwa jina la mtu! Nongwa tu awe ni rafiki au mentor wake! Flyovers zinaitwa majina ya watu! Barabara majina ya watu!Waziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema mgawanyo wa mali za lililokuwa jiji la Dar es salaam ambalo limevunjwa utakuwa kwamba kila manispaa itarithi mali zilizo katika maeneo yao ya kiutawala.
Kwa mfano stendi ya mabasi ya mkoani yaani Stendi ya Magufuli itarithiwa na manispaa ya Ubungo nk nk!
Maendeleo hayana vyama!
Nani atarithi DAWASA?Waziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema mgawanyo wa mali za lililokuwa jiji la Dar es salaam ambalo limevunjwa utakuwa kwamba kila manispaa itarithi mali zilizo katika maeneo yao ya kiutawala.
Kwa mfano stendi ya mabasi ya mkoani yaani Stendi ya Magufuli itarithiwa na manispaa ya Ubungo nk nk!
Maendeleo hayana vyama!
Dawasa iko Kinondoni!Nani atarithi DAWASA?
Amandla...
Lini Mnyika alishawahi kuwa mbunge wa Ubungo?Mnyika alifubaza sana maendeleo ya Ubungo .tungekuwa mbali
Mnyika alifubaza sana maendeleo ya Ubungo .tungekuwa mbali
Kweli mzeeMnyika alifubaza sana maendeleo ya Ubungo .tungekuwa mbali
Halafu akakimbilia Kibamba na kubebwa lakini nako kafuzaba vilevile.Mnyika alifubaza sana maendeleo ya Ubungo tungekuwa mbali