Waziri Jafo na ndoa ya wake wanne - hii kitaalam imekaaje Mwalimu Kashasha?

Waziri Jafo na ndoa ya wake wanne - hii kitaalam imekaaje Mwalimu Kashasha?

Duh ila kuna wanawake wanawake wana moyo ,yaani unakuwa unajua kabisa kuwa kuna wenzangu?
Duh
Rais wako mwenyewe mke wa tatu katika wake wanne, ni utamaduni kaukuta atafanya vipi sasa?

Na alivyoolewa hata hakuota kwamba kuna siku atakuja kuwa rais.

Yani rais anarudi nyumbani anajipanga pembeni ya wenzake watatu na hapo anavua urais wake akimkuta bi mkubwa na bi wa pili, yeye wa tatu mdogo wake mmoja tu.

Lakini kama anafanya kazi yake vizuri, kwa nini tujali?
 
Back
Top Bottom