Waziri January Makamba anamaanisha Magufuli alikuwa akiwakatia umeme watumiaji wakubwa na kuwatisha wakae kimya?

Waziri January Makamba anamaanisha Magufuli alikuwa akiwakatia umeme watumiaji wakubwa na kuwatisha wakae kimya?

Pumbavu sana, kwa hiyo apewe uwaziri miaka 4, Samia apewe miaka 6, Halafu wafe au anamaanisha Nini?
Sicho alichomaanisha, tatizo watanzania tunapenda sana kupotosha maana inayokusudiwa ili mradi tu tupate sababu ya kumtukana Makamba.

Wapewe muda wa kufanya kazi na wapimwe kama majukumu yao yalitekelezwa au walishindwa.
 
Ungese mtupu umeandika, unajua cost za umeme wa gas? Na gas yenyewe tunanunua sio yetu. JNHPP ndo suluhisho pekee shida ya wabongo tunadandia tu,
Msenge baba yako pumbavu mkubwa, mtoto wa malaya unazaliwa hata baba humjui. Champagnee usijifanye unajuwa sana matusi, njoo tupambane kwa hoja
 
Kwaiyo iyo baioanuai ya selous ni muhimu kuliko huo umeme???? Kwaiyo wewe una akili kuliko waliofanya research nakuona huo mradi utatufaa watanzania???? Kwaiyo wewe ulikuwa na akili zakuona mbali kuliko huyo magufuli? Haya niambie wewe mwenye akili ni nini umefanya cha kwako kwakulisaidia taifa?.....
Wataalamu walimpelekea environmental impact assessment ya mradi iliyoonyesha kuwa siyo viable project. Kaulizie kwa Prof Raphael Mwalyosi mtaalamu wa Institute of Resource Assessment pale UDSM. Alikataa ile ripoti na akalazimisha na wataalamu wakai chakachua wakaandika anavyotaka.

Magufuli wasn't genius kama mnavyodhani bali alikuwa na ujasiri wa kufanya hata mambo ambayo kiubinadamu hayakubaliki. Mfano ni kutuma watu wakumshambulia Lissu akiwa bungeni, kuzaa na mdogo wa mke wake, kuua akina BenSaanane etc
 
Kwahiyo anataka Mungu amchukue hangaya baada ya miaka 6 ya uongozi wake?

Sisi hatukumpa miaka 6 magu ni M/Mungu ndo alimpa. Na hapo mwaka mmoja aliuiba ye alipewa 5 ya uongozi wa 6 akaiba ndo mana akawahishwa.

Nae huyu ajichunge aongoze miaka aliyopangiwa tu akiiba atakipata.

Na huyo makambako aache kuchafua wenzie nyambaf akijitetea kivyake atakosa nini mpaka autie dosari uongozi uliopita.
Acha imani za kijinga wewe, mungu sio mwanasiasa,,, kwani kuna nchi ngapi hapa duniani hadi mungu apoteze mda kukomaa na Tanzania,,,
Mnajipa uspecial msio kuwa nao,,, kwani Lesotho sio watu hadi huyo mungu ashupae na Tanzania pekee,,,
 
Tatizo hampendi kuambiwa ukweli kutokana na muda mrefu kupigwa kamba. Huo ndio ukweli.
Tatizo wengi bado hawajafuta ujinga vichwani mwao, Tanesco na kukata umeme, inahusiana vipi na mungu?
 
.

Watu wanaongelea kukatika hovyo kwa umeme alafu nyie vitakataka na vichawa vya makamba mnakuja na hoja za mazingira?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Kama wewe ulipokuwa una post wakati wa Magufuli ulikuwa chawa wake, basi nakuombea Mungu akupe ujasiri kipindi hiki cha eda maana yeye anaoza udongoni na harudi tena
 
Unamaanisha kipindi cha Kalemani uzalishaji wa umeme ulitosha kwa mahitaji ya nchi nzima?
Au unamaanisha wakati wa Kalemani umeme ulikuwa haukatiki?
Kwa hiyo Makamba ndiye anayekukatia wewe umeme?

Umeme ulikatika kwa discpline. Unaishi dsm kweli? Umepita kariakoo kila kona majenereta yanapiga kelele.
 
Ndio somo lake hilo usipeleke urafiki kwenye kazi, jamaa yako awezi kubali.

Aelewi somo kila siku anajichimbia kaburi yeye mwenyewe kwa kutetea ujinga; mjomba moto unapowaka kwenye boat la siasa elewa muda wa kupiga mbizi na kumuachia muhusika mziki wake.

Uyo jamaa usimjibu atakua bado anakaa nyumbani au kwa shemeji yake hajajua sisi tunaolalamika umeme ndo mishe zetu zinategemea umeme. Anamtetea makamba labda kaolewa uko
 
Makamba mpuuzi kweli, anamuingiza Rais kwenye masuala ya wizara yake kama kichaka cha kuficha udhaifu wake, lazima awe accountable kama kazi imemshinda apishe wengine.

Urais wa Samia unahusika nini na kukatika umeme?
Anachomaanisha msukuma anampiga vita Rais, kupitia mteule wake,.

Yaani mpaka tufafanue kila kitu? Kwani una elimu gami mkuu?.. [emoji23][emoji23]
 
Acha imani za kijinga wewe, mungu sio mwanasiasa,,, kwani kuna nchi ngapi hapa duniani hadi mungu apoteze mda kukomaa na Tanzania,,,
Mnajipa uspecial msio kuwa nao,,, kwani Lesotho sio watu hadi huyo mungu ashupae na Tanzania pekee,,,
We kijana punguza makasiriko, ndo hivyo nduguyo kachukuliwa kwa kushupaza kwake shingo.

Hata mimi inanishangaza sana hii nchi yaani inalindwa nguvu toka juu
 
Bro,
Hoja yangu ni kuwa tuache muda umprove incompetent for that post, kwa maana kuwa suala la kukatika umeme sio tatizo la waziri bali ni Technical reasons ukiwemo na kuongeza installed capacity ya uzalishaji nchini.
Kama atashindwa kusolve hizo challenges hapo itabidi aondolewe mara moja, ila kwa sasa it's too early tumpe muda.
Apewe muda gani wakati watu wanataka umeme kwa ajili ya kazi zao za kipato mjini?

Mwambie kama ofisi imemshinda apishe wengine msituchoshe na majibu yenu ya kukariri kila siku.
 
Kakosea sana kuzungumzia mapato ya tra ambayo haipo chini ya wizara yake.inaonesha ni wazi kaja kirusha mawe na vijembe kwa wabaya wake.
 
January Makamba akijibu hoja za wabunge kuhusu kukatika kwa umeme, kwanza alimlaumu mbunge Musukuma kwa kumshambulia yeye binafsi na kueleza kazi ya ubunge sio kushambuliana na kama ana matatizo na yeye kuwa waziri au samia kuwa rais apeleke kwingine lakini sio kwenye masuala ya nchi.

Pamoja na maelezo mengine, Makamba alitoa takwimu za TRA zinazoonyesha kipindi cha urais wa Samia suluhu na yeye akiwa waziri, makusanyo yamepanda, na kueleza hii inatokana na kuwa wao hawawakatii wenye viwanda umeme na kuwaambia wanyamaze ndio maana uzalishaji umepanda.

Makamba aliongeza pia matatizo ya kukatika kwa umeme yametokana na legacy, ambapo kipindi kilichopita repair and maintainance ilikuwa haifanywi ipasavyo, na akamaliza kwa kusema kama waziri aliyepita alipewa miaka 4, basi na yeye apewe miaka 4 waone kama hali ya kukatika itakuwepo na kama Magufuli walimpa miaka 6 basi na Samia wampe miaka 6 waone kama haya matatizo yatakuwepo

SISI tunasubiri wakati
 
Kwahiyo anataka Mungu amchukue hangaya baada ya miaka 6 ya uongozi wake?

Sisi hatukumpa miaka 6 magu ni M/Mungu ndo alimpa. Na hapo mwaka mmoja aliuiba ye alipewa 5 ya uongozi wa 6 akaiba ndo mana akawahishwa.

Nae huyu ajichunge aongoze miaka aliyopangiwa tu akiiba atakipata.

Na huyo makambako aache kuchafua wenzie nyambaf akijitetea kivyake atakosa nini mpaka autie dosari uongozi uliopita.
Acha Ujinga
 
Acheni kelele.. Hii wizara ina changamoto nyingi na hazijaanza leo wala jana.

Too early kumjudge vibaya Makamba aliyepewa wizara muda mfupi uliopita.

Nasisitiza ni mapema mno apewe muda zaidi..
Watu wa Legacy wanataka kumwangushia jumba bovu Makamba,hawataki kuambiwa hali halisi ilivyo.
 
Leteni Umeme acheni blaha blaha zenu.Tunataka Umeme wa uhakika sisi ebo,mnashindwa kuwajibika mmebakia kukunja mashati kama Obama mkidhani mtakuja kuwa kina "POTUS "wa Tanzania 🙂
[emoji23]
Wazee wa legacy mtakoma kipindi hiki,wakati wa kayafa ilikuwa ni marufuku kutangaza kuwa umeme umekatika.
 
Back
Top Bottom