Waziri January Makamba anamaanisha Magufuli alikuwa akiwakatia umeme watumiaji wakubwa na kuwatisha wakae kimya?

Waziri January Makamba anamaanisha Magufuli alikuwa akiwakatia umeme watumiaji wakubwa na kuwatisha wakae kimya?

Wazee wa legacy mtakoma kipindi hiki,wakati wa kayafa ilikuwa ni marufuku kutangaza kuwa umeme umekatika.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kwahiyo umeme ulikuwa unakatika alafu unafichwa kwamba haujakatika?

Hivi mnafikiri kila mtu humu kajaza ma. vi kichwani kama nyie?
 
Kama wewe ulipokuwa una post wakati wa Magufuli ulikuwa chawa wake, basi nakuombea Mungu akupe ujasiri kipindi hiki cha eda maana yeye anaoza udongoni na harudi tena
Vichawa vya makamba mna shida sana
 
Tatizo hampendi kuambiwa ukweli kutokana na muda mrefu kupigwa kamba. Huo ndio ukweli.
Alipoingia wizarani alisema maji madogo ndio maana umeme unakatika katika, baadae akaja akasema wanafanya matengenezo ya mitambo. Tuamini lipi?
 
January Makamba kichwani utopolo kbsa take it healthy prove msukuma wrong with fact, pumbavu nchi hii utopolo kila sehemu, Makamba kiazi sana hujapevuka kisa umeishi maisha yasiohitaji thinking umelelewa kindezindezi, majibu ya kishamba kbsa. Mtamuaibisha sana Samia wenu na bado. Ulimsengenya Rais Magufuli ukasamehewa uhaini unachukulia poa wewe endelea.
 
Anajifanya smart but kwa kweli kwa hili ameonyesha ana IQ ndogo sana. Kuweza kuhandle mambo makubwa. Hawezi hawezi. Ile wizara mama kama anataka afanye vizuri tusione kuna upigaji hata kidogo amtoe Makamba. Sasa hivi atapigwa mawe hadi anyooke yaani. Na mama kwa kuwa ana nia 2025 anatakiwa aandae njia nzuri. Makandokando yatamsababishia kampeni kuwa ngumu
 
January Makamba akijibu hoja za wabunge kuhusu kukatika kwa umeme, kwanza alimlaumu mbunge Musukuma kwa kumshambulia yeye binafsi na kueleza kazi ya ubunge sio kushambuliana na kama ana matatizo na yeye kuwa waziri au samia kuwa rais apeleke kwingine lakini sio kwenye masuala ya nchi.

Pamoja na maelezo mengine, Makamba alitoa takwimu za TRA zinazoonyesha kipindi cha urais wa Samia suluhu na yeye akiwa waziri, makusanyo yamepanda, na kueleza hii inatokana na kuwa wao hawawakatii wenye viwanda umeme na kuwaambia wanyamaze ndio maana uzalishaji umepanda.

Makamba aliongeza pia matatizo ya kukatika kwa umeme yametokana na legacy, ambapo kipindi kilichopita repair and maintainance ilikuwa haifanywi ipasavyo, na akamaliza kwa kusema kama waziri aliyepita alipewa miaka 4, basi na yeye apewe miaka 4 waone kama hali ya kukatika itakuwepo na kama Magufuli walimpa miaka 6 basi na Samia wampe miaka 6 waone kama haya matatizo yatakuwepo

upuuuzi na utumbo tu
 
Nilikuwa nachaji simu yangu kwa wasiwasi wa umeme kukatika kabla haijajaa lakini namshukuru mungu chaji imejaa kabla umeme wa TANESCO haujakatika.
 
Tatizo hampendi kuambiwa ukweli kutokana na muda mrefu kupigwa kamba. Huo ndio ukweli.
Pumba tupu. Kwa hiyo sasa hivi watumiaji wakubwa hawakatiwi umeme? Yaani Magufuli alikuwa anakwenda kwenye switchgear kuelekeza umeme usiende kwa watumiaji wakubwa. Ni kiwanda gani kilikuwa kinakosa uememe kusudi watumiaji wadogo wasikatiwe umeme?
 
Back
Top Bottom