mshale21
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 2,126
- 5,068
Daah!! Kama mim wik iliyoisha mpaka nliamua kuisusa office , maana unatumia chombo cha Moto kwenda ofisini, unaweka mafuta ( mafuta yenyewe bei ghari), unaingia ofisin hakuna umeme, unabaki kupiga stor zen unageuka home, kesho yake hvyo hvyo, Yan ni Hasara tupu, nikaona isiwe tabu office pga chini!!Watanzania kwa Sasa wanaabudu umeme siyo vizuri kabisa kwa maisha ya binadamu Taifa limekuwa la Walanguzi Kila kitu ni shida Watanzania wapole mpaka wamekuwa mazuzu, leo mtu kafungua ofisi lakini hafanyi kazi sababu ya umeme na ukimuuliza waziri wa umeme Nani anakujibu sijui...