Waziri January Makamba hana msaada wowote kwenye Wizara ya Nishati. Tumechoka!

Daah!! Kama mim wik iliyoisha mpaka nliamua kuisusa office , maana unatumia chombo cha Moto kwenda ofisini, unaweka mafuta ( mafuta yenyewe bei ghari), unaingia ofisin hakuna umeme, unabaki kupiga stor zen unageuka home, kesho yake hvyo hvyo, Yan ni Hasara tupu, nikaona isiwe tabu office pga chini!!
 
Ni shidaaa sana,yani kama una kiofisi kama ki stationary au cha kuuza bizaa za kutegemea umeme na hauna Mbadala wake,imekula kwako
 
Inauma sana. Kweli uzalishaji umesimama kabisa. And Wengi sisi shughuli zetu ndio hizi Uki show up ndio watoto wale. Hand to Mouth kinda of economy. Ewe Mh. fanya hima tuondolee hili tatizo
 
tanesco inakwama wapi ? Mbona kuna ruzuku ( mtaji) kuna mainjinia , madokta , maprofesa nk nini imeshindikana?
 
Tulia sindano iingie.
 
Watu mmelipwa kiasi gani kumchafua?
Hapana sio kulipwa mkuu... umeme unakatika sana na hii ni toka Makamba awe waziri wa hiyo wizara.
Anatufelisha sana sisi wengine bila umeme hatupati ridhiki.
 
Ndiyo umejua Magufuli alikuwa anafanya kwa ajili yako?
 
Hiyo maintenance inachukua muda gani? na mitambo yote inafanyiwa kwa wakati mmoja? naona kuna michezo michafu hapa na waziri hajitambui, nchi iko gizani ila kila siku waziri yuko safarini na kutoa visingizio kibao visivyoeleweka, usiamini mswahili
 
Acha upumbavu wewe

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Ndiyo umejua Magufuli alikuwa anafanya kwa ajili yako?
Huo ni wajibu wa kila atakayeitwa Rais , sio tubembeleze nakat kwenye tozo tunakamuliwa kupitiliza!!

Hata leo, umeme haukuwepo mpaka nimeamua niamshe tu, hii ni tabu, balaa na kuingizana Hasara za kipumbavu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…