PreGE2025 Waziri Jenista Mhagama ampa heko Dkt. Mollel awaambia Wananchi wa Siha wasimuache katika wakati ujao

PreGE2025 Waziri Jenista Mhagama ampa heko Dkt. Mollel awaambia Wananchi wa Siha wasimuache katika wakati ujao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Kayugumis

Senior Member
Joined
Jun 6, 2022
Posts
160
Reaction score
172

Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama akiwasilisha Bajeti ya Wizara ya Afya ya mwaka wa fedha 2025/26, leo Juni 2, 2025, Bungeni Jijini Dodoma amempa heko Naibu wake, Dkt. Godwin Mollel kwa uchapakazi na kumsaidia katika majukumu yake.

Waziri Mhagama ametoa wito kwa Wananchi wa Siha kutomuacha Dkt. Mollel kwa kuwa ni mtu sahihi kwao.

Wakati huohuo, Mbunge wa Jimbo la Momba (CCM), Condester Michael Sichalwe amesema Dkt. Mollel amekuwa ni mwema kwa Wabunge na Wananchi wengi wakati wote wanapomtafuta ikiwemo wanapokuwa na changamoto za uhitaji wa masuala ya afya.

 
Back
Top Bottom