Waziri Jenista Mhagama: Serikali Kuendelea Kuboresha Huduma za Afya Ruvuma

Waziri Jenista Mhagama: Serikali Kuendelea Kuboresha Huduma za Afya Ruvuma

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301

Screenshot 2024-09-20 at 18-07-20 Wizara Ya Afya (@wizara_afyatz) • Instagram photos and videos.png

Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Peramiho Mhe. Jenista Mhagama ameuhakikishia umma wa wanaruvuma kuwa Serikali kupitia Wizara ya Afya itaendele na uboreshaji wa huduma za Afya ikiwemo upatikanji wa vifaa, vifaa tiba pamoja na dawa.

Waziri Mhagama amesema hayo Septemba 20, 2024 baada ya kuwasili mkoani Ruvuma na kupokelewa na Mkuu wa mkoa huo Mhe. Ahmed Abbas.

Waziri Mhagama amesema Mkoa huo wa Ruvuma utanufaika na ujenzi wa wodi maalum za watoto wachanga waliozaliwa na uzito pungufu (NCU) ili kufikia lengo la Serikali kupunguza vifo vya watoto.

Kuhusu suala la lishe, Waziri Mhagama amesema Serikali inaendelea na zoezi la kutoa elimu kwa wahudumu wa Afya ngazi ya jamii ambao katika kila Kitongoji watakua Wawili (Wakike na Wakiume) watakaotoa elimu na huduma za kijamii za awali kwa wananchi.

Screenshot 2024-09-20 at 18-07-41 Wizara Ya Afya (@wizara_afyatz) • Instagram photos and videos.png

Ziara ya Waziri Mhagama mkoani Ruvuma inafanyika siku chache kabla ya ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan itakayoanza Septemba 23 mkoani humo.

Waziri Mhagama akiwa mkoani Ruvuma anatarajia kutembelea miradi mbalimbali inayotekelezwa katika Jimbo la Peramiho ikiwemo kukagua utoaji wa huduma kwenye Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Ruvuma (RRH), Kukagua utekelezaji wa mradi mpya (New OPD) pamoja na kuzungumza na Watumishi wa Sekta ya Afya.

Screenshot 2024-09-20 at 18-07-45 Wizara Ya Afya (@wizara_afyatz) • Instagram photos and videos.png
 

Attachments

  • Screenshot 2024-09-20 at 18-07-26 Wizara Ya Afya (@wizara_afyatz) • Instagram photos and videos.png
    Screenshot 2024-09-20 at 18-07-26 Wizara Ya Afya (@wizara_afyatz) • Instagram photos and videos.png
    813.3 KB · Views: 6
  • Screenshot 2024-09-20 at 18-07-31 Wizara Ya Afya (@wizara_afyatz) • Instagram photos and videos.png
    Screenshot 2024-09-20 at 18-07-31 Wizara Ya Afya (@wizara_afyatz) • Instagram photos and videos.png
    698.8 KB · Views: 5
  • Screenshot 2024-09-20 at 18-07-37 Wizara Ya Afya (@wizara_afyatz) • Instagram photos and videos.png
    Screenshot 2024-09-20 at 18-07-37 Wizara Ya Afya (@wizara_afyatz) • Instagram photos and videos.png
    689.7 KB · Views: 5
  • Screenshot 2024-09-20 at 18-07-49 Wizara Ya Afya (@wizara_afyatz) • Instagram photos and videos.png
    Screenshot 2024-09-20 at 18-07-49 Wizara Ya Afya (@wizara_afyatz) • Instagram photos and videos.png
    817.1 KB · Views: 6
  • Screenshot 2024-09-20 at 18-07-53 Wizara Ya Afya (@wizara_afyatz) • Instagram photos and videos.png
    Screenshot 2024-09-20 at 18-07-53 Wizara Ya Afya (@wizara_afyatz) • Instagram photos and videos.png
    952.6 KB · Views: 4
  • Screenshot 2024-09-20 at 18-07-59 Wizara Ya Afya (@wizara_afyatz) • Instagram photos and videos.png
    Screenshot 2024-09-20 at 18-07-59 Wizara Ya Afya (@wizara_afyatz) • Instagram photos and videos.png
    729 KB · Views: 5
Hawa ni ndg?
 

Attachments

  • IMG-20240924-WA0031.jpg
    IMG-20240924-WA0031.jpg
    101.2 KB · Views: 5
Back
Top Bottom