Waziri Kabudi sasa ni wakati wa kuwakopesha wasanii wa Singeli

Waziri Kabudi sasa ni wakati wa kuwakopesha wasanii wa Singeli

Baada ya kutambua rasmi juhudi zao za kuitangaza Tanzania kimataifa nje ya mfumo rasmi.

Wakati umefika kutambua utamaduni huu usioyumbishwa na muda au kebehi za wasiojiamini na kuamini katika singeli/ mchiriku/ mnanda .

Wekeni fedha vijana waliojiajiri katika hii entarnmeint industry yenye kuinfluence culture ya kipekee.

Watanzania wengi hawana access ya furaha ya kimuziki yenye kimarekani bali SINGELI za uswazi zinazotaja maisha yao halisia.

Tuwape fursa vijana kwani wapo na wameshaonesha nia.

Rock n Roll ni music wenye maneno ya kihuni lakini kuna ujumbe mkubwa nyuma yake ....hii ni alama ya muziki kule marekani

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Mnataka kutengeneza uchochoro wa kuzipiga kodi zetu, tunataka maji safi na salama mbona hamsikii watu nyie!
 
Tunataka maji hatutaki viuno vya singeli, unataka wakopeshwe ili wanunue shanga za kiunoni!
Wao wanaimba kiuno unakikata wewe na shanga unaivaa wewe.
upo maeneo gani nikutajie mradi wa maji?
 
Hakuna cha maana kinachoimbwa kwenye singeli zaidi ya makelele na ujingaujinga
 
Back
Top Bottom