Kabudi tangu aingie kwenye siasa alisahau na taaluma yakeMbona hajatuwekea kifungu cha sheria kinachosisitiza jambo hili!?
au afanye ziara ya kushtukiza kwenye ile karakana ya kibwetere wa Kawe.Amefufukia wapi huyu,aanze na Masanja Mkandamizaji
Ni sawa na yule aliyesema ukienda kufumania uwe na vyeti vya ndoa.Mbona hajatuwekea kifungu cha sheria kinachosisitiza jambo hili!?
Sharti la kupewa uongozi na CCM ni lazima ukabidhi ubongo wako kwa mwenyekiti na bichwa lako libaki tupu halafu watakuwekea makororo mengine.Kabudi tangu aingie kwenye siasa alisahau na taaluma yake
Hili ini swali zuri sana kuwauliza wenye mamlaka ya kulinda sheria zetu na kutuepusha na matapeli.Hivi misukule inayofufuliwa pale Kawe, RITA wanaizingumziaje ? Wanawatambua kama waliofariki au wanawahesabia wamezaliwa upya ?
haaha inabidi RITA ihakikishe vyeti vyao vya kifo vya hao misukule vinafutwa na kuwasajili kama raiya wa kigeni kutoka mashamba ya giningi.Hivi misukule inayofufuliwa pale Kawe, RITA wanaizingumziaje ? Wanawatambua kama waliofariki au wanawahesabia wamezaliwa upya ?
Swali fikirishi!Hivi misukule inayofufuliwa pale Kawe, RITA wanaizingumziaje ? Wanawatambua kama waliofariki au wanawahesabia wamezaliwa upya ?
Kwanza vyeti vyote huwa vinatolewa na serikali so hataweza kuwa na cheti halali, labda ubuni chako as wale jamaa zetu.Ndoa itakuwa batili mwenye kufungiwa ndoa atajuaje kuwa anayefungisha ndoa hajasajiliwa na RITA?