johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Demand na supply mkuu viongozi wetu ni weupe mno kuhusu mambo ya kiuchumiBiashara inaongozwa na demand ..je kwa nini uwalazimishe kushusha
Hakuna kitu kibaya kama kupambana na mfumuko wa bei.Waziri wa nishati Dr Kakemani ameitaka Ewura kuhakikisha bei ya gesi ya majumbani inashuka ndani ya siku 14 kuanzia leo.
Source: ITV habari
Kunavitu ukishavipandisha bei basi umeharibu kila kituAmetoa sababu zilizofanya ipande? Assume kwenye soko la dunia price iko juu, utalazimishaje kushusha price ya kuuza sababu tu wewe uko na mamlaka. Nadhani ndo itakuwa mwanzo wa gesi kuadimika. Halafu mpaka zinapanda, huwezi sema serikali haijui hilo. Ni waziri mpumbavu tu asiyejua nini kinaendelea kwenye wizara anayosimamia.
... hawa ndio wale toka STD I wamesomeshwa na serikali hadi leo wanalishwa na serikali. Kama uchumi wa kwenye vitabu uchumi halisi wataujulia wapi!Demand na supply mkuu viongozi wetu ni weupe mno kuhusu mambo ya kiuchumi
... gesi ya Mtwara imefika hadi Dar es Salaam; unajiuliza tatizo liko wapi kuisafisha na kujaza kwenye mitungi kwa ajili ya matumizi ya majumbani? Tena kwenye hili iwe totally owned na serkali through a state-owned company na bei iwe very affordable! Au ndio hivyo mafisadi wameiweka mfukoni serikali ya CCM?Hakuna kitu kibaya kama kupambana na mfumuko wa bei.
Viongozi nawaomba wapambane na sababu za mfumuko wa bei,kama ni sababu zinazoendana na mahitaji basi hakuna budi bei ipande na kama ni sababu ambazo haziendani na mahitaji ya wakati basi sababu hizo zitatulkwe maisha yaendelee.
Kila mfanya biashara hapa duniani hakuna anayetamani kila siku auze bei pungufu ya mwaka jana bidhaa yakee,kila mfanya biashara anatamani auze kwa bei ya juu zaidi biashara yake.
Kama taifa tuna shida kubwa Sana hasa kwenye mfumo wa vetting kwa kuwapata viongozi wazuri rejea ya BBC ni aibu kwa taifa... hawa ndio wale toka STD I wamesomeshwa na serikali hadi leo wanalishwa na serikali. Kama uchumi wa kwenye vitabu uchumi halisi wataujulia wapi!
Ongezeko halikupitishwa na Bunge na kuwa Sheria kama Miamala?Waziri wa nishati Dr Kakemani ameitaka Ewura kuhakikisha bei ya gesi ya majumbani inashuka ndani ya siku 14 kuanzia leo.
Source: ITV habari
Hakuna Scarcity ya Gas bhana. Msilete Theories zs Demand and supply pasipostahili.Demand na supply mkuu viongozi wetu ni weupe mno kuhusu mambo ya kiuchumi