Waziri Kalemani atoa siku 14 bei ya gesi ya majumbani iwe imeshuka

Waziri Kalemani atoa siku 14 bei ya gesi ya majumbani iwe imeshuka

Waziri wa nishati Dr Kakemani ameitaka Ewura kuhakikisha bei ya gesi ya majumbani inashuka ndani ya siku 14 kuanzia leo.

Source: ITV habari
Selikali ndiyo ilituambia tuachene na nishati ya kuni kulida misitu yetu na ikapenekeza tutumie nishati mbadala kama ges ambayo ni rahisi na haiharibu mazingira. Ndiyo maana inawatetea wananchi wake bei isipande ovyo ovyo mfanya biashara anapojisikia akufanya atakavyo. Serikiali ndiyo yenye maamuzi ya kupanga bei kama vile inavyotangaza bei ya mafuta kwa sababu haa gesi ni zao la mafuta.
 
Kama anaweza kutoa tamko kama hili na bei ikashuka kwanini asitoe siku nyingine 14 ili bei ya petroli nayo ishuke!?
MKUU. BAK
SIASA HIiZI YAAN UNAPOFIKIA KUSEMA HADHARAN MNS USHAPATA UTHIBITISHO WANACHONUNUA NA WANACHOUZA WANATUPIGA

KAMA NDIO, SIKU 14 ZA NN KWANINI ASISEME SEVEN DAYS ?
NAIPENDA RWANDA SANA
 
Huyu Waziri wa Chattle la umeme kukatika limemshinda anahangaika na gesi yaani sasa hajui ashike lipi , ndio mama ajue kwamba hajui kuchukua matakataka ya Magu na kuendelea kuyakumbatia
 
HAHAHAAAA NAONA WHAT'S UP VYETI VIPYA TAASISI ZA DINI
ZIPELEKE NA MAHESABU...

ANAEKAGUA MAHESABU N MSAJILI
VITUKO HIVI
NAONA IGIZO JIPYA JG AKA MAKAMBOO ANATAFUTWA HAHAHAAA
 
Back
Top Bottom