Waziri Kalemani tuokoe na hujuma zinazofanywa na TANESCO Tegeta

Waziri Kalemani tuokoe na hujuma zinazofanywa na TANESCO Tegeta

mgt software

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
13,778
Reaction score
7,145
Wanna Jf,

Tanesco Tegeta wanafanya hujuma na ukatili wa hali ya juu, lengo kuzikataa mita za Baobab zinazotengenezwa Tanzania.

Nimesema hivyo baada ya kufanya tafiti zifuatazo.

1. Tanesco iliondoa mita za digital ambazo zilikuwa zinaingizwa toka nje, baadae zikangolewa site na kuweka Mpya inasemekana ni mbovu kuliko kiasi hivyo wanashinikiza ziondolewe.

Hizi mita zinajama sana na kujilock hivyo mafundi kutwa wanaangaika na mita ambazo ni shida

2. Ukienda karakana ya Tanesco utakuta mita nyingi za baobab zimerudishwa kwa matatizo fulani fulani hivyo kama uwezi kuadilishiwa mita imekula kwako

3. mafundi wa mita za luku wanatesa sana wateja wao wanapatikana kuanzia saa 2 mpaka saa 10 baada ya hapo hakuna hivyo wanajifanya kuzidiwa unaweza kuwekwa hadi week mbili kurudishiwa huduma
 
ndugu mteja, tunaweza kupata mawasiliano kwa ajili ya ufuatiliaji
 
Ivi zile boti zenu za uvuvi zishafika?
 
Tanesco wakera Sana nimeomba umeme mwezi was pili Sasa sioni wakija site na Kila siku gari lao naliona mtaani kwangu ukiwauliza wanasema subiri tutakupigia .
 
ndugu mteja, tunaweza kupata mawasiliano kwa ajili ya ufuatiliaji
Washikaji mnakata umeme kienyeji sana, i wish kuwe na kampuni za binafsi zenye uwezo wa kuwauzia wananchi umeme wa moya kwa moya.
 
Back
Top Bottom