Waziri Kasim Majaliwa Anachangia nini Kwenye Ujenzi Wa Maabara Za Shule?

Status
Not open for further replies.

MR. MORRIS T. J.

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2013
Posts
1,167
Reaction score
403
Kasim Majaliwa Amenukuliwa Akisema Kuwa Waalimu Lazima Wakatwe Kila Mwezi Kwenye Mishahara Yao Kwa Ajili Ya Ujenzi Wa Maabara Za Shule, Najiuliza Yeye Anakatwa Ngapi Kuchangia Ujenzi Wa Maabara Hizo? Je Vp Wafanyakazi Wa Kada Zingine Hawana Watoto Hadi Wasikatwe Kwenye Mishahara Yao?

Mbona Cwt Imekaa Kimya Ili Hali Waalimu Wanalazimishwa Kuchangia Michango Ya Kinyonyaji Ili Hali Na Kodi Wanakatwa Kwenye Mishahara Yao Kwa Ajili Ya Maendeleo Ya Nchi Ikiwemo Na Ujenzi Wa Maabara Hizo?

Je, Kwenye Mikataba Ya Ajira Kuna Kifungu Kinachowapa Mamlaka Ya Kuwakata Fedha Hizo Hao Waalimu?

CWT MPO WAPI? MBONA MNARUHUSU WAALIMU KUONEWA KIASI HIKI?
 
Ngoja nione michango ya wengine.
Ila huu mkuki ni mkali, hata kama haunichomi mm!
 
huo mchango ukizidisha na idadi ya walimu,dah! hilo fungu si dogo.ila walimu wakizubaa inakula kwao.
 
Hivi kukata bila ridhaa hakuna kosa kisheria hapa kweli? Ila nchi hii mwalimu amekuwa mtu wa kuonewe mchango wake pia hausaminiwi
 
hili agizo m sijaelewa kapewa na mkewe au mkuu wa mchi mh rais?!!
kwan kama ni hivyo ni walim tuu wanaohuswa moja kwa moja vp wadau wengne ktk kada zingine au kwa kuwa walim ni wanyonge hii nchi..?
 

Mleta mada.
naomba kaa chini uandike umetulia ukaeleza vizuri zaidi ya hapo juu.
mfano K.Majaliwa amesema wapi, alikuwa anahojiwa na media yoyote, aliongea bar? hiyo kauli ni azimio la kiakao flani. je ni tamko la serikali? n.k
na watakatwa asilimia ngapi ya mshahara, na mamlaka hao yametoka wapi? je walimu wapo tayari? n.k
jumla ya kiasi cha kujenga mahabara kina julikana, watakatwa kwa muda gani?
mwisho kwanini walimu.
Tafadhali sana rudi ulikopata hilo...... uje "full nondo"

SP
 

nenda jukwaa la habari na hoja mchanganyiko utaikuta hiy habari ya majaliwa kuagiza walimu wakatwe kwenye mishahara yao kwa kuwa shule hz zitasomesha hata watoto wao.alizungumza kipindi cha radio one kumepambazuka.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…