MR. MORRIS T. J.
JF-Expert Member
- Apr 18, 2013
- 1,167
- 403
Kasim Majaliwa Amenukuliwa Akisema Kuwa Waalimu Lazima Wakatwe Kila Mwezi Kwenye Mishahara Yao Kwa Ajili Ya Ujenzi Wa Maabara Za Shule, Najiuliza Yeye Anakatwa Ngapi Kuchangia Ujenzi Wa Maabara Hizo? Je Vp Wafanyakazi Wa Kada Zingine Hawana Watoto Hadi Wasikatwe Kwenye Mishahara Yao?
Mbona Cwt Imekaa Kimya Ili Hali Waalimu Wanalazimishwa Kuchangia Michango Ya Kinyonyaji Ili Hali Na Kodi Wanakatwa Kwenye Mishahara Yao Kwa Ajili Ya Maendeleo Ya Nchi Ikiwemo Na Ujenzi Wa Maabara Hizo?
Je, Kwenye Mikataba Ya Ajira Kuna Kifungu Kinachowapa Mamlaka Ya Kuwakata Fedha Hizo Hao Waalimu?
CWT MPO WAPI? MBONA MNARUHUSU WAALIMU KUONEWA KIASI HIKI?