Hahah hizo ndio enjoyment za watasha,sasa sisi tunaanza story zetu ooh maadili ya ki-Tanzania yanapungua sijui nini,sasa tuchague 1 tunataka hela zao kwa kuvumilia tutakayoyaona huko beach au tulinde maadili yetu na tupishane na hela zao.[emoji23][emoji23][emoji23] wewe ni mdau wa sex tourism..
Beach tourism inaendana na biashara za ukahaba,nenda Copa Cabana,Mombasa,Zanzibar,Gambia,Mexico,Ibiza,Monaco,Capetown n.k.Mktaka watalii wajazane kwa utalii wa fukwe basi mhararishe ukahaba,halafu msije kushangaa watoto wa kike wa umri mdogo wakipata mimba na wavulana wakiwa mashoga na hapo ndio utamsikia Zitto akija na ujinga wa kusema mwanafunzi anyeshika mimba awe darasa moja na malaika
Mbona hapo mnazungumzia Mzungu mzungu... Hamumgusii kabisa mbongo. .. Kwamba sisi ndio hatutaki kutalii.. .
Hii ipo Jamaica!Siku hizi Holland wameanzisha sex tourism na wanaingiza pesa nyingi Sana, watu wenye hela wanaenda kuwafyatua wanawake wa kiholanzi, na sisi tuanzishe biashara hiyo
Duh!! kuwafatua 😂 😂 😂Siku hizi Holland wameanzisha sex tourism na wanaingiza pesa nyingi Sana, watu wenye hela wanaenda kuwafyatua wanawake wa kiholanzi, na sisi tuanzishe biashara hiyo
Kenya wapo mbele yetu kwenye beach tourism japo tuna long and stable coastline kuwazidi. Huu ni udhembe wetu binafsi
Kingine ambacho hujakielewa ni kuwa, watalii wanapenda EXPERIENCES na haijalishi wataipata wapi hivyo hata kama una mbuga au lolote lazma uwekeze katika hilo. Kitu ambacho tumeshindwa
Leo hii Arusha ilitakiwa kuwa EA city ya utalii yaani mtalii atoke mbugani then akamalizie Arusha. Bad enough baadhi huopt kwenda Nairobi au wakamalizie Zenji maana hatuna mji uliokaa fresh
Siku hizi Holland wameanzisha sex tourism na wanaingiza pesa nyingi Sana, watu wenye hela wanaenda kuwafyatua wanawake wa kiholanzi, na sisi tuanzishe biashara hiyo
Unakaa siku ngapi kwa hiyo hela? Mwaka?Naomba nikupinge mkuu.
Hata hizo fukwe huwezi kushindana na maldives, indonesia, brazil, spain, hawaii etc kuna fukwe nzuri balaa, same kwa hayo matamasha yapo mengi kupita maelezo mazuri mara 100 kushinda ya znz.
Kinachotakiwa ni kutafuta vitu vya kipekee, vitu ambavyo havipatikani kokote duniani ila hapa kwetu tu.
Mfano Angalia thanda island, ipo Tanzania ila ni private island kubook tu kukaa hapo unatakiwa ufanye deposit ya dola $70,000 ambayo ni kama milioni 150, ni kisiwa cha kipekee miundo mbinu ya helicopter, wanyama kama tasa na vitu vyengine ambayo hupati kwengine.
Hii ni hulka yetu binadamu kinapotokea kitu ambacho hakipatikani kokote duniani basi tunamiminika ili na sisi tuonekano tumeshiriki.
Boresheni na tangazeni hivi vitu watu watakuja.
Sasa beach zetu huku ukikutwa unachakata totozi kwny gari/mchangani police hawa hapa na matochi yao unaanza kumulikwa na pingu juu,huo utalii wa beach utatoka wapi.
Lakini mbona kama unavutia waya upande wako. Jipange tu utimize fantasies zako [emoji23][emoji23]Hahah hizo ndio enjoyment za watasha,sasa sisi tunaanza story zetu ooh maadili ya ki-Tanzania yanapungua sijui nini,sasa tuchague 1 tunataka hela zao kwa kuvumilia tutakayoyaona huko beach au tulinde maadili yetu na tupishane na hela zao.
dodge
True mkuu, kuna siku nilikuwa naangalia utalii wa south yaani unakuta hata kama ni park bhasi wanaongezea na vitu kadhaa vya kumfanya mtu avutike kukaa zaidi. Hata Kenya the sameUko sawa sana mkuu,hata kwenye seminars za mambo ya utalii hua tunaambiwa mtalii analipia 'EXPERIENCE' na sio kitu kingine chochote na msisitizo miaka yote hua unawekwa hapo tu,hivyo vingine ni ziada tu.
dodge
Arusha imezungukwa na the BIG FIVE..Na hapo ndipo kwa maoni yangu shida ilipo, siyo kweli kwamba Arusha city ndio kitivo cha Utalii Tanzania kwani Watalii wengi wanaokuja TZ hawaji kwa sababu kuna Arusha bali wanakuja kwa sababu kuna Zanzibar, > 60% ya Watalii wanaoingia TZ wanakuja kwa sababu Zanzibar ni sehemu TZ hivyo wanaingia kwenye takwimu za ,, Watalii walioitembelea TZ “ , lkn kama ukiondoa Zanzibar Watalii watapungua kwa > 50%.
Gambia huko West Africa inapata She tourist kwq aina hii ya UtaliiHii ipo Jamaica!
Watalii mademu kutoka kwa wenye vibamia huhusika
Mbona umekwepa kuitaja burigiMkitaka Watalii wafurike Tanzania wekezeni kwenye Fukwe, matamasha kama vile Sauti za Busara Unguja na vitu kama hivyo hizo Mbuga ni kiduchu sana, watu wa first World wanapiga kazi mwaka mzima kisha anataka kukwea pipa kwenda kuondoa stress ufukweni kuogelea, kurelax na totos na kufurahia maisha, hakuna kijana wa Kizungu au Japani anataka kuja kuona Simba au sijui Twiga Ngorongoro.
Hivyo mkitaka Watalii wa kufa mtu achaneni na ujinga wa Serengeti sijui Katavi kamateni fukwe kuanzia za Bahari hadi Maziwa makuu tengenezeni Matamasha kajifunzeni Zanzibar, BTW > 60% ya Watalii wanaokuja TZ wanakwenda Zanzibar na siyo Katavi, au Ngorongoro, ...
Siku zote huwa nakupingaga lknChief-Mkwawa,
Unaweza mbona Zanzibar wanajaa? Kuna ndege zinakuja hazitui popote hadi Zanzibar, isitoshe Mji kama Bagamoyo tungeweza ugeuza ukawa wa Matamasha tu mfano tamasha la sanaa lilikuwepo lkn lilikuwa linafadhiliwa na Muzungu na lilibamba kiasi chake, BTW ushawahi kutembelea Sauti za Busara Zanzibar 13-16/02?
Arusha imezungukwa na the BIG FIVE..
kushindwa kuitangaza kama EA tourism gateway ni udhembe wetu binafsi ..
Kushindwa kuitengeneza kuwa mji wa kitalii wenye experience mbalimbali ni uvivu wetu binafsi...
Arusha kuna aina za utalii mwingi na vitu vilivyopo zanzbar ukitoa stone town hata Tanga kwa kiasi flani inaweza kuikalisha vizuri kama nchi ikiamua. Narudia ni udhembe wetu tu
Ufuska ufweni ni jinai.
Misri wanaongoza dunia kwa utalii, wana ma beach gani Misri???
We remain an ultra conservative afro-islamo-christian country; sex tourism on the beach is the antithesis of who we are.
Let's keep pushing the envelope of what is possible with the long and iconic list of landmarks we have including the Kilimanjaro, the Serengeti and Oldonyo Lengai, the cradle of mankind, to name but a few.
HahahahahahahahSiku hizi Holland wameanzisha sex tourism na wanaingiza pesa nyingi Sana, watu wenye hela wanaenda kuwafyatua wanawake wa kiholanzi, na sisi tuanzishe biashara hiyo