mkereketwa89
JF-Expert Member
- Aug 27, 2013
- 277
- 145
Mkuu unafaidika nini na utetezi wa hawa mabwana????tuwe wakweli tumenyanga mashamba ya watu majumba mashuke msikiti mahospital makanisa , kikwapi bado maskini uwezi kuchukuwá vitu vya watu wamepewa na chama tawala , pay back nothing for free , hayo mambo yalipita na hawamu ya kwanza tukawa hata beer hatuna tunarudi tena huko
kwani azimio lina ubaya ganihawa watu wamepata vibari kutoka kwenye serikali kufukuza tu na wana hati miliki sio kitu kidogo , tunarudi kwenye azimio la Arusha inavyoonekana
Hizi ndo habari zilizochezewa. No such thing as mkataba wa miaka 99. We umeuona huo mkataba?Hakika jamiiforums imenisaidia na inaendelea kunisaidia.
Inanijuza mambo mengi sana.
Yaani mtu anaingia mkataba wa miaka 99? Ama kweli hii nchi inaliwa na wengine kabisa
Mwandishi wa Gazeti la MFANYAKAZI......................Huyo mwarabu ndo tunaambiwa huku JF kuwa hilo eneo lake ana mtandao binafsi wa simu?
Na hii ishu ndo iliondoa uhai wa Stan Katabaro?
pasco
Ili wapewe mpunga wao watulieNaamini hii kauli ya Kigwangalla ina baraka zote za Mkulu, hivyo naamini hili swala litafuatiliwa kiundani kama swala makinikia.
Itategemea na approach anaweza kutulipaFidia nyingine za kumlipa Muarabu zinanukia