mkereketwa89
JF-Expert Member
- Aug 27, 2013
- 277
- 145
hawa majamaa wanamikataba ya yakutosha tena miaka 99 hyo fidia ya kuwafukuza itakua balaa...mm binafsi nawachukua hawa waarabu lkn tunawafukuzaje wakati tuliwapa mikataba minono tena halali tena mawakili wa serikali ndo wametia sahihi?