Waziri Kigwangalla aagiza kampuni ya Uwindaji ya OBC ya Loliondo kurudi walikotokea kabla ya Januari 2018

Waziri Kigwangalla aagiza kampuni ya Uwindaji ya OBC ya Loliondo kurudi walikotokea kabla ya Januari 2018

tunaweza kulipa fidia huku tukilipwa fedha za uaminifu ili mambo yaishe!
Kila siku tunauliza humu hivi walioingia hiyo mikataba ya umilikishaji na ubinafsishaji hawapo hapa nchini ama hawajulikani?
Hawakuwa watu ni tobits
 
Ivi watz wote tukiziunga mkono jitihada za serkal, tutafanikiwa fasta, bt serkal inatupigania while kunawatu wengine kazi yao ni kupinga na kuupotosha ukweli.
Hivyo ndivyo ilivyo. Katika taifa la watu milioni 50 huwezi kutegemea watu wote wawe na mawazo sawa. Utofauti wa mawazo ni wa muhimu sana katika kupata mawazo mbadala. Ulaya iliendelea baada ya enlightenment; watu walianza kuwa na mawazo tofauti juu ya mambo! Walipingana kwa hoja, na kuwa chachu ya kusonga mbele.
 
Watakuwa chadema hao... Sisi ccm ni wazalendo na tuna uchungu na mali zetu.
Tena Mbowe kwa kushirikiana na Lissu ndiyo walisaini huo Mkataba na bunge chini ya Godbless Lema akiwa Spika wakati huo ndiyo lilipitisha kutokujadiliwa kwa mkataba huo kwa mslahi ya nchi kwa kura nyingi za "Ndiyooo" za wabunge wa CHADEMA!
 
Suaa siyo miaka ya mkataba , suala hapo ni mazingira ya mikataba yakoje? Yanainufaisha serikali? Yanawanufaisha wakazi wa eneo husika? Kama pori nilikuwa na watu hao watu mkataba unawatizamaje? Sisi daima terms and condition za mikataba huwa zinatuumiza
 
kikubwa ni je walikua wanalipa kodi stahiki na kufuata sheria za nchi au?
Aisee kwenye jambo la OBC ni zaidi ya kodi kulipwa. Wengine hili jambo linatukumbusha Stanley Katabalo (RIP) aliyefanya uchunguzi kuhusu jambo hilo kwa kina sana!
 
Yaani CCM wanauza wenyewe na wakija CCM wengine wakiona hawana maslahi kwenye jambo husika wananyang'anya. Na wao mwisho wa siku wanawapa watu "wao" na tunarudi tena kule kule kwenye kuibiwa. Ni kama mduara wa ufisadi!
 
Ni kweli, kwa sababu huyo mwarabu alishashindikana.
tatizo ccm ni wanafiki hamna mwenye dhamira ya kweli kutetea rasilimali zetu hapo magu anataka hela zingine kama za makinikia nothing more kwani muda wote alikuwa hajui kama hao waarabu iyo ni nchi yao ndani ya Tanzania wanatumia mpka network yao ambayo haiingiliani na za nchi? ngoja tuone jopo lingine la liundwe kunegotiate as usual
 
Mods please tuunganishe na ule uzi wa maajabu ya loliondo ili wengi tupate faida
[HASHTAG]#invisible[/HASHTAG]
[HASHTAG]#paw[/HASHTAG]
 
Huyo mwarabu ndo tunaambiwa huku JF kuwa hilo eneo lake ana mtandao binafsi wa simu?
Na hii ishu ndo iliondoa uhai wa Stan Katabaro?
pasco
Loliondo imekula sana maisha ya whistle brewers,kazi ya Mzee (Mwinyi) ruksa hiyo.
Sometimes ukisikia mtu anamsifia Magu na kutoa kauli za kuongezewa muda wa kukaa madarakani lazima ujiulize why,maana inawezekana ni namna moja ya kujaribu kuzuia makaburi yao yasifukuliwe.
 
Ivi watz wote tukiziunga mkono jitihada za serkal, tutafanikiwa fasta, bt serkal inatupigania while kunawatu wengine kazi yao ni kupinga na kuupotosha ukweli.
Kwani maana ya upinzani ni nini mkuu??
 
Hao waarabu ndiyo tuliambiwa na Mwanahalisi kuwa walimhonga JK suti?
 
Na hawata ondoka kwa chuki binafsi za udini.
Hata huyo kingwangada atapigwa stop hajui taifa linanufaika vipi na taxes za hawa jamaa.
Hao makelele yenu ya kichaga Rais hawezi kuyasikiliza.
Anafahamu kuwa mnataka poachers wavamie hilo eneo .
Povu jingi vipi??
Umeguswa wapi ndg??
 
Nimesoma bila kuamini kuwa Kampuni ilipewa mkataba wa uwindaji kwa miaka 99 tangu 1990. Hii ina maana kuwa mkataba wao utaisha mwaka 2089. Hili ni jambo lisilovumulika na hii inaonyesha kuwa viongozi wetu hawana uchungu na rasilmali ya nchi hii.

Mtu mwenye akili timamu hawezi kutoa uamuzi kama huo. Ni vyema mhusika akakamatwa na kutueleza kuwa kulikuwa na manufaa gani OBC kupewa mkataba wa miaka 99.
Unaweza kukita signatory kwa upande wa Tanzania Ni mgombea urais wa chadema/ukawa 2015
 
Yaani CCM wanauza wenyewe na wakija CCM wengine wakiona hawana maslahi kwenye jambo husika wananyang'anya. Na wao mwisho wa siku wanawapa watu "wao" na tunarudi tena kule kule kwenye kuibiwa. Ni kama mduara wa ufisadi!
Mange anajua hili pia Kamanda?
 
Hili nakuunga mkono mweshimiwa waziri watanzania wameteseka sana na hiyo kampuni wapo waliopoteza maisha kwa kudai haki zao
 
Back
Top Bottom