Influenza
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,509
- 3,756
Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamis Kigwangalla kupitia twitter ameandika;
Tumeanza kujipanga ndani ya Wizara ili kushawishi serikali yote kukubali namna ya kufungua biashara ya utalii mwezi Juni 2020. Tumefanya utafiti na tathmini (scenario analysis), kuna hatari ya ajira 477,000 kupotea kutokana na hatua mbalimbali zinazochukuliwa na nchi mbalimbali
Kwa kuwa ugonjwa umeishaingia nchini, na kwenye jamii, hai-make sense kuweka masharti magumu kwa watu kuja Tanzania. Tunadhani mkakati wa ‘mandatory quarantine at own cost’ ya siku 14 uondolewe na tuimarishe ‘mandatory mask’ kwa kila mtu, social distancing and hygiene practices.