Zillion
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 1,378
- 1,866
Kuna PhD mbili
Huwa sielewi kabisa ziliingiaje kwenye hivyo vichwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa sielewi kabisa ziliingiaje kwenye hivyo vichwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waingereza waliweka Lockdown 23 March 2020 wakiwa na wagonjwa 6650 vifo 336.Kwahiyo Kigwangalla ameshakata tamaa Corona haitoisha!
Ili kulinda uchumi, nchi hii bhanaWaziri wa Maliasili na Utalii, Hamis Kigwangalla kupitia twitter ameandika;
Tumeanza kujipanga ndani ya Wizara ili kushawishi serikali yote kukubali namna ya kufungua biashara ya utalii mwezi Juni 2020. Tumefanya utafiti na tathmini (scenario analysis), kuna hatari ya ajira 477,000 kupotea kutokana na hatua mbalimbali zinazochukuliwa na nchi mbalimbali
Kwa kuwa ugonjwa umeishaingia nchini, na kwenye jamii, hai-make sense kuweka masharti magumu kwa watu kuja Tanzania. Tunadhani mkakati wa ‘mandatory quarantine at own cost’ ya siku 14 uondolewe na tuimarishe ‘mandatory mask’ kwa kila mtu, social distancing and hygiene practices.
Yani hawaelewi kadri wanavyolegeza masharti ya Usalama ndivyo wageni nao wanapata hofu ya kuja nchini.. HopelessHakuna mtu wa kuja. Wakati hata hamjielewi jinsi mnapambana.Ondoeni Karantini ila mjue hakuna mtu atakuja Tzee.
Yesu wangu ee ahahahahaha Carica papayaWaziri wa utalii anafanana na vivutio vya Utalii!
Kwenye hili janga hakuna mkweli huko ulaya wenyewe wamekuwa wasanii itakuwa hapa kwetuAta ikiruhusiwa anadhan ni mtalii gan mjinga atakae pata wazo la kuja kutalii kwenye nchi ya mazingira ya kisanii kama tz
Sent using Jamii Forums mobile app
P, nakuona huchelewi hata kidogo. Ila, mchemba zake alizichanga na kuzichanganua vilivyo. Mwenzetu zako sijui ka zinasikika vyema. Tatizo ni kuwa; sisi hatujafunga mipaka ila imejifunga yemnyewe. Mtalii huyo, Je, yupo hapa nchini au ndo atakuja ka miguu kupitia njia za pamya??Naunga mkono hoja, pesa ni muhimu kuliko kitu chochote!.
P
Dr. KIGWANGALA NI MBUNIFU. HII YOTE NIONAVYO MIMI BINAFSI, NI KTK KUTETEA MASLAHI YA WIZARA YAKE NA PATO LA TAIFA KIUJUMLA.Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamis Kigwangalla kupitia twitter ameandika;