Waziri Kijaji: Nasubiri ripoti ya Tume inayochunguza upya tukio la Makonda kuvamia Clouds

Wote hao blah blah
 
Waache chokochoko za kisiasa.
Kisheria hakuna haja ya ripoti ya uchunguzi.
Clouds ndio mashahidi na Nape.
Wizara ya utamaduni ina ripoti yote.

Lissu nae atakujamfungulia kesi
Hivi hawezi kusimama mtu yoyote nje ya Clouds kufungua kesi ya ile jinai??????
 
Kile kipindi alikuwa na cheo cha Amiri kikosi maalumu kwaniaba ya mtwaliwa wake.
Ilikuwa ngumu kumgusa.
 
Hakuna nafasi ya kumsamehe mtu kama huyu asiye na chembe ya nidhamu.
 
Hakuna mtu anayekula raha kama Mimi.

Ingawa hapa wengi wenu mmenizidi umri Ila nawazidi sana kwa vitu vingi kwahiyo kuweni makini mnaongea na nani
Adabu kwake ni 0
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…