Waziri Kijaji: Nasubiri ripoti ya Tume inayochunguza upya tukio la Makonda kuvamia Clouds

asante sana kwa habari hii njema. hata Neno la Mungu limeandika, ajishushaye anakwezwa, na ajikwezaye atashushwa, neno la Mungu latuonya unyenyekevu tujivike, Mungu huwapiga wenye kiburi lakini huwapa wanyenyekevu neema.

hii ni principle ambayo Mungu hajawahi kufanya nayo makosa, akikupandisha ukaota mapembe na kuwa mungumtu its just a matter of time, utashushwa tu. angalia sabaya alikuwa mungu mtu Hai, angalia makonda alikuwa mungumtu tz nzima, angalia chalamila alikuwa mungumtu lakini sasaivi hana hata kazi ya kufundisha hajapata, angalia matakataka yooote yaliyosumbua na kunyanyasa nafsi za watu kipindi cha jpm, yoote yameshushwa. tujifunze kutokuwa na kibri, na kutowanyanyasa wanyongwe au yeyote asiye na hatia kwa kutumia madaraka ambayo Mungu ametuneemia tu kutupatia haikuwa haki yetu ni neema tu. aswekwe mbali huko.
 
Jamaa alilewa madaraka mno mno akajiona ana uwezo kama Mungu. Hivi mnakumbuka alivyokuwa anajidai? Anatamba kwamba katika watu wanaokula raha duniani basi ni yeye? Anafungua ''mahakama'' za mitaani kuhoji wafanyakazi, na mmoja akaanguka ghafla, na yeye hata kuonyesha kujali hakuonyesha badala yake anasema CCM hoyee!
 
acha wakamtindue ukingo wa utumbo mkubwa lango la nyaaa
 
Masharti aliyopewa Mother ili aendelee kubugia trilions za Mabeberu bila Riba ( Siyo kwa mikopo ya kishamba na kizuzu aliloliingiza taifa yule mjuaji mshamba aliyepita);
1. Kufukua kaburi la Lissu, Ben, Azory
2.Yaliyotokea awamu ya 5 yasijirudie kwenye utawala wake
3.Haki za Binadamu na Uhuru wa Mahakama
4.Waliofanya ushetani wote awamu ya 5 washughulikiwe ili iwe fundisho siku za mbeleni
5.Kuweka mazingira mazuri ya kisiasa na kidemokrasia
6.Kuacha uganga wa kienyeji na ushirikina kwenye kudeal na milipuko mbalimbali ya magonjwa (Walimshangaa yule jamaa kujifanya anamjua sana Mungu kuliko wao waliyemleta huyo Mungu kwa Meli)
7.Kushirikiana na nchi za nje katika kudili na changamoto mbalimbali (Dunia ni kijiji kwa sasa, huyo Kim na ujeuri wake wote anategemea chakula kutoka China)
8.Kuwa muwazi kwenye matumizi kwa kila senti itakayopatikana
 
hata bila kupata misaada ilikuwa muhimu bashite apelekwe kizimbani. huyo hahitaji hata dhamana au ahadi ya kupewa mikopo, hata bure anatakiwa kupelekwa kizimbani. dunia yote inajua.
 
6.Kuacha uganga wa kienyeji na ushirikina kwenye kudeal na milipuko mbalimbali ya magonjwa (Walimshangaa yule jamaa kujifanya anamjua sana Mungu kuliko wao waliyemleta huyo Mungu kwa Meli)
😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Badala ya kujikita kweny emaendeleo sasa watu wanarudi kwenye visasi.

Kazi ipo.
 
Hiyo ripoti mbona hatujaambiwa imeundwa lini na wajumbe ea tume hiyo ni wapi? Mazingaombwe ya CCM msiwaamini kwanza.
 
Too late. Kipindi alichotakiwa kusoma alama za nyakati kimeshapita. Wacha aonje alichopika kwani itakuwa fundisho kwa watu wengine wanaopata madaraka na kujiona wana uwezo wa kufanya chochote. Jamaa alizidi mno.
 
Punguza hasira. Mbona unataka kumfanya Magufuli kuwa Mungu wako. Magufuli alifanya mazuri na mabaya. Mazuri mengi yaliharibiwa na mabaya machache. Huwezi kuwa rais wa nchi ukabagua kundi Fulani na kulitesa.

Mpaka Leo Kuna watanzania wamepotea haijulikani wapo wapi. ben sanane na Azory. Kuna furaha gani kujenga daraja na barabara lakini uhai wa raia wako unaudharau, kiongozi Bora hujali uhai wa raia wake hata Kama wanampinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…