johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Naibu waziri wa Maliasili na utalii mh Costantine Kinyasu amesema amekuwa akipokea simu kutoka kwa watalii na wadau wa Utalii kutoka Ulaya wakilalamika kuchoshwa na kufungiwa ndani hivyo wanataka kuja Tanzania kupumzika.
Waziri anasema ameshakutana na wadau wa Utalii hapa nchini kuzungumzia hilo na kimsingi wameshakubaliana mambo kadhaa.
Mosi watoa Huduma za Utalii watapimwa Corona na kupewa vyeti hii ni kuanzia madereva pale Air port hadi wahudumu wa mahotelini.
Pili idadi ya watalii kwenye gari moja huko mbugani kupunguzwa ili kuzingatia social distance
Magari yote ya Tours kupuliziwa dawa na kuhakikisha muda wote kuna Sanitizer, sabuni na maji
Nk...nk
Chanzo: ITV habari za saa
Maendeleo hayana vyama!