S Stan Mashamba JF-Expert Member Joined Apr 22, 2020 Posts 3,183 Reaction score 2,479 May 20, 2020 #41 yorkshire said: Safi sana waje tu kwa kweli tupate mapesa Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kumbe akili zetu na wazungu watalii ni sawasawa!
yorkshire said: Safi sana waje tu kwa kweli tupate mapesa Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kumbe akili zetu na wazungu watalii ni sawasawa!
S Stan Mashamba JF-Expert Member Joined Apr 22, 2020 Posts 3,183 Reaction score 2,479 May 20, 2020 #42 dong yi said: Mhe Raisi Magufuli amesema corona imeisha, nyie mnataka kuwapima vitu gani tena?......... kwaio, mtapima madereva na wahudumu wa kitanzania ila hao 'wazungu' hawatapimwa......?? maana Raisi wangu amesema marufuku kuwaweka karantini 'watwalii' Click to expand... Je, mashine za vipimo zimepona?
dong yi said: Mhe Raisi Magufuli amesema corona imeisha, nyie mnataka kuwapima vitu gani tena?......... kwaio, mtapima madereva na wahudumu wa kitanzania ila hao 'wazungu' hawatapimwa......?? maana Raisi wangu amesema marufuku kuwaweka karantini 'watwalii' Click to expand... Je, mashine za vipimo zimepona?
S Stan Mashamba JF-Expert Member Joined Apr 22, 2020 Posts 3,183 Reaction score 2,479 May 20, 2020 #43 dennis_robert said: Nchi ya propaganda Click to expand... Tatizo la viongozi wetu kila mmoja anasema kitu hata kitu hicho hakijui.
dennis_robert said: Nchi ya propaganda Click to expand... Tatizo la viongozi wetu kila mmoja anasema kitu hata kitu hicho hakijui.