Waziri Kivuli Mifugo wa ACT, Thomas Nkola aachiliwa kwa dhamana kwa tuhuma kukamshifu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe

Waziri Kivuli Mifugo wa ACT, Thomas Nkola aachiliwa kwa dhamana kwa tuhuma kukamshifu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Waziri Kivuli wa Mifugo wa ACT Wazalendo, Thomas Nkola ameachiwa kwa dhamana baada ya kushikiliwa na Jeshi la Polisi kwa siku zisizopungua tatu kwa tuhuma za kumkashifu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe

ac.png

Chanzo: actwazalendo_official
 
Kwani kumkashifu waziri ni jinai au linaangukia kwenye madai, au sheria zinatupiga chenga
 
Back
Top Bottom