Tanzania yenye Amani inapendeza sana
Viongozi wa Kitaifa wapo kupokea wageni wakubwa wenye hadhi ya Ma Balozi
Wkt na Chadema wapo kutumiza mipango yao kwanjia ya Tozo jamii ya Tone tone!!!
Mwisho tunajivunia Amani kwa pamoja yenye kuleta fursa mbali mbali
tunampongeza kiongozi wetu mwenye Subra sana mwenye kuipenda nchi yake
mwenye kutupenda Wananchi wake na mwenye kupenda Amani
RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN
Tutakulinda kwa wivu mkubwa na tutakuombea usiku na Mchana Mungu mkuu akulinde wewe na Wasaidizi wako wemaโ๏ธ