Bawabu wa pili
Senior Member
- Nov 14, 2025
- 147
- 433
Una inferiority complexWagalatia watasema wameuzwa kwa waarabu ngoja wauone huu uzi
Waziri Kombo Awasilisha Ujumbe Maalum wa Rais Samia kwa Mwanamfalme wa Saudi Arabia
Dodoma, 23 Disemba,2025
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo ( Mb) akiambatana na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mheshimiwa Profesa Palamagamba Kabudi (Mb) amewasilisha ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Mwanamfalme na Waziri Mkuu wa Saudi Arabia Mtukufu Mohammed bin Salman Al Saud.
Soma pia: Waziri Kombo alipowasilisha Ujumbe Maalum wa Rais Samia kwa Rais wa Zimbabwe Emerson Mnangagwa
Ujumbe huo umepokelewa Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufalme wa Saudi Arabia na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufalme huo, Mheshimiwa Waleed bin Abdulkarim El Khereiji.
Akipokea ujumbe huo, Mheshimiwa Waleed Abdulkarim El Khereiji aliongelea kutambua na kuthami uhusiano wa muda mrefu na imara wa kidiplomasia, kibiashara na kiutamaduni uliopo kati ya Ufalme wa Saudi Arabia na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
View attachment 3519874
Aidha, aliahidi kuwa Ufalme wa Saudi Arabia utaendelea kushirikiana kwa karibu na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kuimarisha zaidi uhusiano huo, hususan katika maeneo ya vijana, utamaduni, biashara, uwekezaji, utalii, elimu, ajira na maeneo mengine yaliyoafikiwa na nchi hizo mbili.
Alieleza dhamira ya Ufalme wa Saudi Arabia kuunga mkono jitihada za uwezeshaji wa vijana zilizowekwa na Serikali ya Tanzania na kuwasilishwa na Waziri Kombo.
Bado wapo bussy na X-MAS, wakirudi jioni, matusi .... du...Jiandaeni.Wagalatia watasema wameuzwa kwa waarabu ngoja wauone huu uzi
Vichochoro vya kupita ni vingi sana, miaka hii. Ukinibana kushoto, nitatafuta njia nyingine ya kupita. Muhimu ni kufika safari yetu kama WaTZ. Mengine ni ya muda tu.Waziri Kombo Awasilisha Ujumbe Maalum wa Rais Samia kwa Mwanamfalme wa Saudi Arabia
Kwanza Serikali inabidi iwajibike kwa mauaji ya halaiki ya Oct 29, Haya mengine ni propaganda za kukimbia/ kukwepa uwajibikaji wa Serikali kwa mauaji ya raia taliyofanywa na vyombo vya Dola kwa kutumia risasi za moto "Extra judicial killings".In fact huyo unayemwita Rais ni mtuhumiwa namba Moja wa mauaji hayo.𝗪𝗮𝘇𝗶𝗿𝗶 𝗞𝗼𝗺𝗯𝗼 𝗔𝘄𝗮𝘀𝗶𝗹𝗶𝘀𝗵𝗮 𝗨𝗷𝘂𝗺𝗯𝗲 𝗠𝗮𝗮𝗹𝘂𝗺 𝘄𝗮 𝗥𝗮𝗶𝘀 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗸𝘄𝗮 𝗠𝘄𝗮𝗻𝗮𝗺𝗳𝗮𝗹𝗺𝗲 𝘄𝗮 𝗦𝗮𝘂𝗱𝗶 𝗔𝗿𝗮𝗯𝗶𝗮
Dodoma, 23 Disemba,2025
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo ( Mb) akiambatana na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mheshimiwa Profesa Palamagamba Kabudi (Mb) amewasilisha ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Mwanamfalme na Waziri Mkuu wa Saudi Arabia Mtukufu Mohammed bin Salman Al Saud.
Ujumbe huo umepokelewa Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufalme wa Saudi Arabia na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufalme huo, Mheshimiwa Waleed bin Abdulkarim El Khereiji.
Akipokea ujumbe huo, Mheshimiwa Waleed Abdulkarim El Khereiji aliongelea kutambua na kuthami uhusiano wa muda mrefu na imara wa kidiplomasia, kibiashara na kiutamaduni uliopo kati ya Ufalme wa Saudi Arabia na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Aidha, aliahidi kuwa Ufalme wa Saudi Arabia utaendelea kushirikiana kwa karibu na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kuimarisha zaidi uhusiano huo, hususan katika maeneo ya vijana, utamaduni, biashara, uwekezaji, utalii, elimu, ajira na maeneo mengine yaliyoafikiwa na nchi hizo mbili.
Alieleza dhamira ya Ufalme wa Saudi Arabia kuunga mkono jitihada za uwezeshaji wa vijana zilizowekwa na Serikali ya Tanzania na kuwasilishwa na Waziri Kombo.
Ni mwendo wa kuombea msaada, maana huku watu flani hawataki kuona ........ Ana watawala.........Waziri Kombo Awasilisha Ujumbe Maalum wa Rais Samia kwa Mwanamfalme wa Saudi Arabia
Dodoma, 23 Disemba,2025
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo ( Mb) akiambatana na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mheshimiwa Profesa Palamagamba Kabudi (Mb) amewasilisha ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Mwanamfalme na Waziri Mkuu wa Saudi Arabia Mtukufu Mohammed bin Salman Al Saud.
Soma pia: Waziri Kombo alipowasilisha Ujumbe Maalum wa Rais Samia kwa Rais wa Zimbabwe Emerson Mnangagwa
Ujumbe huo umepokelewa Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufalme wa Saudi Arabia na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufalme huo, Mheshimiwa Waleed bin Abdulkarim El Khereiji.
Akipokea ujumbe huo, Mheshimiwa Waleed Abdulkarim El Khereiji aliongelea kutambua na kuthami uhusiano wa muda mrefu na imara wa kidiplomasia, kibiashara na kiutamaduni uliopo kati ya Ufalme wa Saudi Arabia na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Aidha, aliahidi kuwa Ufalme wa Saudi Arabia utaendelea kushirikiana kwa karibu na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kuimarisha zaidi uhusiano huo, hususan katika maeneo ya vijana, utamaduni, biashara, uwekezaji, utalii, elimu, ajira na maeneo mengine yaliyoafikiwa na nchi hizo mbili.
Alieleza dhamira ya Ufalme wa Saudi Arabia kuunga mkono jitihada za uwezeshaji wa vijana zilizowekwa na Serikali ya Tanzania na kuwasilishwa na Waziri Kombo.
We endelea tu kulia na mtuhumiwa...mtuhumiwa. Jaribio la Mapinduzi limefeli, chombo kimeshaokolewa. Kapteni yuko mstari wa mbele akikiendesha chombo kwa uangalifu mkubwa sana, akihakikisha hakuna wimbi jingine litalo kitikisa chombo.Kwanza Serikali inabidi iwajibike kwa mauaji ya halaiki ya Oct 29, Haya mengine ni propaganda za kukimbia/ kukwepa uwajibikaji wa Serikali kwa mauaji ya raia taliyofanywa na vyombo vya Dola kwa kutumia risasi za moto "Extra judicial killings".In fact huyo unayemwita Rais ni mtuhumiwa namba Moja wa mauaji hayo.
Mkuu,Awamu zingine zilikua ni awamu za kina nani?Awamu ya waarabu hii, awamu ya taarabu.
Mkuu vipi kuhusu comment 5# Mbona yenyewe hujaikosoa kua ina inferiority complex? au yenyewe ipo sawa?Una inferiority complex
Udini unakusumbua wewe dogo mjinga mjinga sana
TEC never again. Hakuna mwenye hati miliki. Ni mwisho wa dhana kuwa TEC ina hati miliki ya nchi hii. Nchi hii ni ya wote.