The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Na Trump nae alienda kuomba nini?Ameenda kuomba tende
Na Trump nae alienda kuomba nini?Ameenda kuomba tende
Unaweza ukafanya hivyo na wewe hujazuiwaMkuu vipi kuhusu comment 5# Mbona yenyewe hujaikosoa kua ina inferiority complex? au yenyewe ipo sawa?
Kwa jibu hili inathibitisha kua hata wewe una inferiority complex,ndio maana ukachagua nani umkosoa na nani umuache,ungekua upo neutral ungekosoa wote walioingiza udini,Unaweza ukafanya hivyo na wewe hujazuiwa
Mjinga mmoja hujui unachokisema wala kuandika unaongozwa na njaa na umasikini kwenye kufikiria huna maono wala akili umebakia kulihshwa matapishi na wanaokutuma na kuyamwaga kwenye media kusambaza propaganda zisizo na akili wala utu, hoja zako za kijinga pelekea wajinga wenzako Lumumba.We endelea tu kulia na mtuhumiwa...mtuhumiwa. Jaribio la Mapinduzi limefeli, chombo kimeshaokolewa. Kapteni yuko mstari wa mbele akikiendesha chombo kwa uangalifu mkubwa sana, akihakikisha hakuna wimbi jingine litalo kitikisa chombo.
Kapten angeshindwa kuzuia wale vijana wahuni katika mbinu zao, leo milioni 60 ya watanzania wangekuwa katika tabu sana aka Sudan. Mama Kapten Hongera sana, sana, sana, umeiponya nchi, safari inaendelea mpaka 2030 ndio tia nanga.
Nani nimemchagua nawe ni mjinga kama huyo mwenzako Adriz nakujua humu udini umekujaa na upumbavu juu katika huu utawala wa bibi yenu Sasha dini mmeweka mbele kuliko uhalisi pumbavu kabisa angalau Hammaz kajitenga na ushenzi wenuKwa jibu hili inathibitisha kua hata wewe una inferiority complex,ndio maana ukachagua nani umkosoa na nani umuache,ungekua upo neutral ungekosoa wote walioingiza udini,
Still you have time to overcome ur inferiority complex.
Unaona sasa,umeingia mtego kirahisi sana,nilijua tu wewe ndio unasumbuliwa na inferiority complex,na umelithibitisha hilo kwenye hiyo comment yako,Nani nimemchagua nawe ni mjinga kama huyo mwenzako Adriz nakujua humu udini umekujaa na upumbavu juu katika huu utawala wa bibi yenu Sasha dini mmeweka mbele kuliko uhalisi pumbavu kabisa angalau Hammaz kajitenga na ushenzi wenu
Gundu. Du, ndio hivyo tena, ni nyama mchanganyiko. Kwani lazima twende Italy tu au Ujerumani. Safari hii tunachanganya, la msingi ni kuongeza ajira. Tulipoyafuata mafuta aka wese huko, mlikaa kimya, iweje leo kelele kila upande?Awamu ya waarabu hii, awamu ya taarabu.
Nani kakutukana ? Kama unafikiri unahitaji kutukana wewe tukana vile unavyoweza siwezi zuia upumbavu wako lakini wewe na huyo mwenzako adriz upuuzi wa dini umewatiwa upofu mmekuwa wapumbavu katika huu utawala hata mjifiche fiche kama chupi katika gauni lakini ujinga wenu ni rahisi kujioneshaUnaona sasa,umeingia mtego kirahisi sana,nilijua tu wewe ndio unasumbuliwa na inferiority complex,na umelithibitisha hilo kwenye hiyo comment yako,
Acha lugha ya matusi,najua na mimi nikianza kutumia lugha ya aina hiyo hutaweza.
Hivi umewahi kuona mimi najadili issue za kisiasa hapa JF? hasa hizo local politics? mpumbavu mamako aliyekuzaa wewe usiyekua na akili timamu zaidi ya kukariri ID's za wanaume tu hapa JF,kila comment unatag ID's za wanaume,Nani kakutukana ? Kama unafikiri unahitaji kutukana wewe tukana vile unavyoweza siwezi zuia upumbavu wako lakini wewe na huyo mwenzako adriz upuuzi wa dini umewatiwa upofu mmekuwa wapumbavu katika huu utawala hata mjifiche fiche kama chupi katika gauni lakini ujinga wenu ni rahisi kujionesha
Mnataka kuifungamanisha nchi yetu na magaidi?Wagalatia watasema wameuzwa kwa waarabu ngoja wauone huu uzi
Kumbe kutukana unaweza nataka uongeze kasi nimegusa seheme sahihi.Hivi umewahi kuona mimi najadili issue za kisiasa hapa JF? hasa hizo local politics? mpumbavu mamako aliyekuzaa wewe usiyekua na akili timamu zaidi ya kukariri ID's za wanaume tu hapa JF,kila comment unatag ID's za wanaume,
Unapata wapi muda wa kukariri ID za wanaume? utafanya sasa nianze kukutilia mashaka,
Here we Go.
Tusi liko wapi hapo? hivi wewe una akili timamu kweli? nimerudia kukwambia maneno yale yale uliyoniambia mimi mwanzo na ukasema sio matusi,unaona jinsi ulivyokua na akili ndogo kama Kunguni?Kumbe kutukana unaweza nataka uongeze kasi nimegusa seheme sahihi.
Nakujua wewe toka jukwaa la International mpaka la siasa huwezi ficha upumbavu wako na udini wako wewe na wenzako extremists humu nawafahamu vizuri tu huwezi jificha juu ya upumbavu wako huu utawala wa Sasha wewe na kundi lako extremists mliohumu ume expose unafiki na misimamo yenu kwa aliye wa upande wenu kiimani
Wewe ni mjinga sana na mpumbavu wa kiimani kama walivyo extremists wenzako humu
Upi?jitihada za uwezeshaji wa vijana zilizowekwa na Serikali ya Tanzania
Ndio, mimi nimewahinimekuuliza uliwahi kuona mimi najadili hizo local politics humu?
Siku zote nilikuwa najua akili unazo kwa post yako hii ☝️☝️ leo rasmi nakuhesabu katika vilaza waandamizi wa JfMnataka kuifungamanisha nchi yetu na magaidi?
Hapa penyewe unajadili hizo local politics unazozipinga kujihusisha nazo wewe ni mwehu sio bure.Tusi liko wapi hapo? hivi wewe una akili timamu kweli? nimerudia kukwambia maneno yale yale uliyoniambia mimi mwanzo na ukasema sio matusi,unaona jinsi ulivyokua na akili ndogo kama Kunguni?
Hivi huu muda wa kufuatilia wanaume wanachangia nini JF na kukariri ID's zao unaupata wapi? nimekuuliza uliwahi kuona mimi najadili hizo local politics humu? leta ushahidi tuone,
Here we Go.
Wewe punguani nimejadili unafiki wako wakuwasema wenzako wana udini,kumbe wewe ndio udini unakutesa,mapunguani kama wewe mkiachwa huongezeka na kuleta athari kwa jamii,Hapa penyewe unajadili hizo local politics unazozipinga kujihusisha nazo wewe ni mwehu sio bure.
Wewe ni kajamaa kanafiki sana,eti kanamwambia mwenzake ana udini huku kenyewe ndio kanafiki kalikojaa chuki ya udini.Extremists wote huwa mna uwehu wehu fulani hivi kama unaouonesha hapa
Nakupeleka kwenye mkondo unao utaka. Wewe na Faizafox big show tofauti yenu ni kwamba. Wenyewe wanajiweka wazi ila wewe unajifichaficha lazima tukutafute hukohuko mfichoniSiku zote nilikuwa najua akili unazo kwa post yako hii ☝️☝️ leo rasmi nakuhesabu katika vilaza waandamizi wa Jf
Kwa hiyo Marekani ambao wana Intelijensia kubwa wanaoshirikiana na Saudi Arabia kila siku tena wanafosi urafiki nao wanafungamanisha nchi yao na ugaidi ?