Waziri Lugola amkamata dereva wa basi aliyetaka kusababisha ajali, apelekwa Polisi abiria warudishiwa nauli

Mambo mengine ya kijinga sana. Basi la abiria linafukuzana na lori la mizigo ili iweje? Zingekuwa zote basi za abiria tungesema zilikuwa zinagombania abiria.
Hili bus linatoka bunda saa 12 asubuhi kwenda mwanza na kurudi jioni Ni la hovyo Sana, sijui kingamuzi Ni kibovu? Limbizwa hivyo tu, mie lilishanikosakosa pale kalemela,
 
Nadhani halina Kuna siku nilikuwa speed ya 110kph lilinipita Kama nimesimama


Kuna watu wamezembea kwenye moja ya mamlaka zilizopewa jukumu la kusimamia ving'amuzi
 
Amefanya vyema
Sasa atambue shida ipo kwa jeshi lake (traffic police) rushwa ni chanzo cha ajali nyingi
Asafishe jeshi lake tutaenda sawa
 
Hapo angepigwa mkono na wale wapenda rushwa angetoa elfu 10 anaendelea kwenda kuuwa
 

Principally, wenzetu walioendelea wameendelea si kwamba walitutangulia kuja duniani bali wao wanafanya mambo kwa kupanga mipango na sio kwa kurupuka. Kazi ya waziri ni kupanga mipango mkakati na sio kufanya kazi ya trafiki wa kawaida. Ukimlipa mtu Mshahara na marupurupu ya waziri na akanya kazi ya traffic wa kawaida .naomba niishie hapo!
 


Sweka ndani huyo dereva na nyang'anya leseni yake. Awekwe ndani si chini ya miaka 10.
 
Pita na huku kwetu kilosa waziri maana kwenye Rosa tunapanda binadamu kuku mbuzi Na bata abitia wengi bira kujari njoo siki moja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…