Waziri Mabula: Hatuhitaji miji iliyojaa fremu za maduka. Mipango miji izingatiwe

Una shida za Kisaikolojia sio bure wewe.
 
Ndo uppuuzi huu uliwafanya kuwakatalia wabrazil waliotaka kuondoa slum za milimani Mwanza kisa siasa zao Cha kichwara .... hawafikirii future,,hawajui wanavyoharibu hii miji kizazi kijacho ndio kitateseka ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa bongo town kitovu Cha biashara hakuna tofaut na eneo la makazi ya watu, kila eneo maduka mtupuu.
 
Mtu unanunua kiwanja chako unajichanga unajenga from no where kiwanja Jirani yako linajengwa kanisa, ukitoka kazini umechoka unakuja nyumbani kwako kukesha kwa lazima kwa makerere ya usiku kucha tunajengeana chuki ambazo si za lazima kabisa na Serikali hao hao wametoa kibali Cha kujengwa kanisa eneo ambalo awali yalikuwa ni makazi tu.
 
Sikubaliani naye. Masikini makazi yake ndiyo workshop yake. Kwanza hatuna magari ya kuendea "Madukani" Tumezoea chochote tunachotaka kwa matumizi ya kila siku tunatembea tu kukifuata. Watuache hivihivi na migahawa, magenge, maduka, bar nk, mitaani.
 
Mkuu kura yako kamwe haisaidii kitu. Piga usipige Tume ndo uamua
 
Hii ni long overdue
 
kwani wanaoharibu miji kina nani? umeona hata maeneo yasiyoruhusiwa kujengwa vituo vya mafuta vimejengwa kama uyoga na watoa vibali ndio nyie wenyewe sasahivi unajifanya kulalamiiika , kwanza wanaojenga hayo mafremu ni nyie wenyewe wala hakuna mwingine nyambaffff zenu
 
Sahihi kabisa, unakuta mtaa mzima wa makazi ya watu umeja viduka vya mtaji wa laki moja. Hii ni aibu kubwa sana na kuendeleza umaskini tu.
uwepo wa fremu nyingi ni matokeo ya uchumi wa uchuuzi na ukosefu wa ajira za viwandani matokeo yake vijana nguvu kazi wanakwenda kuwa wachuuzi wa bidhaa za wachina.

Taifa linatakiwa lijikite kwenye uchumi wa viwanda vikubwa na vidogo na sio uchuuzi.
 
Kunatakiwa kuweke sheria fremu au makanisa katika makazi ya watu viachane kwa umbali kadhaa.
 
Hili mbona linarudiwa kila mara ila utekelezaji bado changamoto, halmashauri hazina nguvu kazi kusimamia suala hilo,
 

Kwahili na kuunga mkono,miji yetu imekaa hovyo hovyo,ardhi haijapimwa ujenzi holela kila mahali na serikali ipo wizara ipo maafisa ardhi wapo sijui kazi zao ni nini hasa.

Serikali iweke hela miji yote ipimwe ardhi yote nchini ipimwe. Tuondoe hizi squatter na slams tunatia aibu sana.
 
Kila siku porojo badala ya kutoa pesa kuanza upimaji.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…