Tetesi: Waziri Maghembe kutumbuliwa

Ogopa sana waziri mwenye dhamana anafoji report, anadanganya idadi ya watalii imeongozeka kumbe ni uongo mtupu ukilinganisha na mapato ya TRA kutoka TANAPA, anatafuta sifa za kisiasa.

Mzee kama huyu anapaswa kumpumzika ana akili za kufoji repoti kama Dr. Mpango.
 
Si wamesema "mahakama ya mafisadi imekosa wateja" maybe saizi itapata.
 
Wewe umejuaje kama hicho kiasi kilichotajwa ni halisi?
Kama wewe unajua bei mliyouza kwanini usiitaje? Waziri Mkuu hawezi kuropoka ovyo. Wewe subiri muone moto utakaowawakia punde.

[HASHTAG]#bringbackourrhinoalive[/HASHTAG]
 
Sakata lote hili anayelengwa ni Maghembe tu!
Wanazunguka tu bure na kupoteza muda kama hawamtaki wamtumbue tu
 
Kama waziri maghembe anashindwa kusimamia rasilimali zetu, na wakati huohuo akishirikiana na majangili, hadi aje waziri mkuu kuna haja gani yeye kuwepo kwenye nafasi yake?

[HASHTAG]#bringbackourrhinoalive[/HASHTAG]
 
Ndio maana mnyama yeyote akipata matatizo lazima Magembe kama waziri apewe taarifa na yeye ndio wa mwisho kuizinisha na kutoa tamko hiyo ndio kazi yake.
Huna Elimu ya juu

Go back to school Dude.


swissme
Kuna watu wapowapo tu kama Mazombie...

Hajui hata wajibu na majukumu ya waziri wa wizara husika.
 
Acha atumbuliwe tu... wazir mkuu anadeal na wizara yake yeye kalala tu
 
Usihukumu cinema ifike mwisho. Ila tu lazima tuseme ukweli, watu kama Prof. Maghembe wanapaswa kukaa nyumbani na kubaki kuwa washauri wa vijana. Mzee kama huyu ameshalichangia taifa vya kutosha, kama haikutosha haiwezi kutosha tena saa hii. Kasi hii ya sasa awaachie akina Makonda tu waende nayo maana akina Prof. Maghembe ni sehemu ya hali hii tuliyonayo kama taifa ambayo Rais Magufuli inamhangaisha hivi sasa.
 
Mic u Mr President Mrisho Jakaya Kikwete..Ridhiwani 2020 chukua fomu, si kwa uongozi huu Wa awam ya 5. Faru John unawanyima watu usingizi na amani ya maisha kweli haki hii Mr faru john...heee r.I.p..
 
Wazir mkuu alisema kuwa serikali imetoa trilion 1 kununua madawa. Magufuli akasema serikali imetoa billion 200 kunuNua dawa. Nani apo ni muongo?
Inategemea Rais alizungumzia dawa za kipindi gani na waziri mkuu alizungumzia dawa za kipindi gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…