Tetesi: Waziri Maghembe kutumbuliwa

Tetesi: Waziri Maghembe kutumbuliwa

Mkuu PM anawatafuteni awasomeshe namba.

Wewe unaamini kuwa wanayama wote huko mbugani huwa wanazikwa... tuonyeshe hata kaburi moja.. mnyama akifa anaachwa mzoga wake usaidie kuwa chakula ya wengine na kuendeleza ecology, unadhani fisi na tai wange ishi vipi kama mizoga inazikwa. Hakuna kaburu la John Faru.
 
Faru John kapotea au kafa wakati Maghembe ni waziri wa Mali asili na Utalii au kabla?
Maghembe anawajibishwa kama waziri japo wapiga deal ni watu wengine.
Wizara hii ni ngumu imekuwa inabadirisha mawaziri wengi Kagasheki,Nyirandu hadi sasa Maghembe
 
Kuna kila dalili kwamba Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe amekalia kuti kavu, tena kavu kwelikweli.

Sakata la kuuzwa kwa faru John na kisha yeye kubariki uuzwaji huo ni udhaifu mkubwa sana na kigezo tosha cha kumfanya aondolewe kwenye nafasi yake ya sasa. Kwa mujibu wa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Majaliwa, inasemekana faru huyo aliuzwa kwa thamani ya Tsh milion 200, ambapo wauzaji walitanguliziwa malipo ya Tsh milioni 100. Waziri mkuu hawezi kusema uongo. Ni dhahiri anazo taarifa za uhakika za kiintelejensia kwamba faru ameuzwa kwa bei hiyo ya kutupwa. Ndio maana wahifadhi wanashindwa kuonyesha kaburi lake lilipo kama kweli mnyama huyo wa porini alikufa.

Sintofahamu hii inakolezwa zaidi na Maghembe mwenyewe aliyediriki kumdanganya Waziri Mkuu, kwa kushirikiana na wezi wenzake, kwamba faru yule 'amekufa' huku akijua kwamba anasema uongo. Kwa sababu hizi, pamoja na sababu nyingine ambazo bado hazijawekwa wazi ili kumtumzia heshima profesa huyu, kuna kila dalili kwamba huenda Rais, Dr Joseph Pombe akatengua uteuzi wake kabla hajamaliza faru wetu.

Ikiwa waziri mwenye dhamana ya kulinda rasilimali zetu, ama kwa kujua au kwa makusudi, ameamua kushirikiana na majangili kufilisi rasilimali zetu kuna haja gani ya kuendelea kukalia kiti cha uwaziri? Kwa dhati kabisa bila unafiki wowote, mimi namuunga Rais Pombe katika utumbuaji huu. Ifike wakati kila mtu aheshimu rasilimali za taifa kwa manufaa ya watanzania wa sasa na vizazi vijavyo.

Mungu mbariki Rais wetu, Mungu wabariki watanzania, Mungu bariki rasilimali zetu za Taifa. Amen.
Kulia na kucheka vyote kelele
 
Unaweza kuthibitisha habari zako kwa jamii kuwa waziri anahusika na wizi?
Waziri anahusika kwa kuwa alimdanganya Waziri Mkuu kwamba faru amekufa kumbe ni uongo mtupu. Kama amekufa kwa ugonjwa, kaburi lake mbona wanashindwa kulionyesha lilipo? Mkuu ina maana wewe huna uchungu na rasilimali ZETU? Nakushangaa sana.
 
Prof. Maghembe mbunge wangu wa Wilaya ya Mwanga nilikozaliwa.
 
Acheni kuhukumu bila ya kujua undani wa suala lenyewe. Hivi leo kipindi cha St

ar Television cha Tuongee Asubuhi kilikuwa

na Mada isomekayo Sintofahamu ya sakata la Faru John. Katika kipindi hicho waongoza mada wa Mwanza na Dar es Salaam pamoja na wachambuzi wao walitumia muda mrefu wakimtaka Waziri Maghembe ajiuzulu; Kwa maoni yangu naona hii sio kumtendea haki Waziri huyo bila ya kujua undani wa suala lenyewe; Je, kama Waziri Maghembe ndio alimpa taarifa mkuu wake wa kazi yaani Waziri Mkuu alishughulikie kutokana na wahusika/Mhusika mkuu wa ufisadi wa Faru huyo ni wale wasiogusika (Untouchable?) hivyo akaona ni vyema suala hilo lianzie kwa PM? Si tulishasikia lile sakata la pembe za ndovu zilizotolewa taarifa na mwandishi nguli kutoka Uingereza kwamba majangili wakubwa wa pembe za ndovu ni watu maarufu nchini. Sasa kwa nini tunamhukumu Maghembe?
Acheni kuhukumu bila ya kujua undani wa suala lenyewe. Hivi leo kipindi cha Star Television cha Tuongee Asubuhi kilikuwa na Mada isomekayo Sintofahamu ya sakata la Faru John. Katika kipindi hicho waongoza mada wa Mwanza na Dar es Salaam pamoja na wachambuzi wao walitumia muda mrefu wakimtaka Waziri Maghembe ajiuzulu; Kwa maoni yangu naona hii sio kumtendea haki Waziri huyo bila ya kujua undani wa suala lenyewe; Je, kama Waziri Maghembe ndio alimpa taarifa mkuu wake wa kazi yaani Waziri Mkuu alishughulikie kutokana na wahusika/Mhusika mkuu wa ufisadi wa Faru huyo ni wale wasiogusika (Untouchable?) hivyo akaona ni vyema suala hilo lianzie kwa PM? Si tulishasikia lile sakata la pembe za ndovu zilizotolewa taarifa na mwandishi nguli kutoka Uingereza kwamba majangili wakubwa wa pembe za ndovu ni watu maarufu nchini. Sasa kwa nini tunamhukumu Maghembe?
Kwa sababu yeye Ni touchable.
 
Kuna kila dalili kwamba Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe amekalia kuti kavu, tena kavu kwelikweli.

Sakata la kuuzwa kwa faru John na kisha yeye kubariki uuzwaji huo ni udhaifu mkubwa sana na kigezo tosha cha kumfanya aondolewe kwenye nafasi yake ya sasa. Kwa mujibu wa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Majaliwa, inasemekana faru huyo aliuzwa kwa thamani ya Tsh milion 200, ambapo wauzaji walitanguliziwa malipo ya Tsh milioni 100. Waziri mkuu hawezi kusema uongo. Ni dhahiri anazo taarifa za uhakika za kiintelejensia kwamba faru ameuzwa kwa bei hiyo ya kutupwa. Ndio maana wahifadhi wanashindwa kuonyesha kaburi lake lilipo kama kweli mnyama huyo wa porini alikufa.

Sintofahamu hii inakolezwa zaidi na Maghembe mwenyewe aliyediriki kumdanganya Waziri Mkuu, kwa kushirikiana na wezi wenzake, kwamba faru yule 'amekufa' huku akijua kwamba anasema uongo. Kwa sababu hizi, pamoja na sababu nyingine ambazo bado hazijawekwa wazi ili kumtumzia heshima profesa huyu, kuna kila dalili kwamba huenda Rais, Dr Joseph Pombe akatengua uteuzi wake kabla hajamaliza faru wetu.

Ikiwa waziri mwenye dhamana ya kulinda rasilimali zetu, ama kwa kujua au kwa makusudi, ameamua kushirikiana na majangili kufilisi rasilimali zetu kuna haja gani ya kuendelea kukalia kiti cha uwaziri? Kwa dhati kabisa bila unafiki wowote, mimi namuunga mkono Rais Pombe katika utumbuaji huu. Ifike wakati kila mtu aheshimu rasilimali za taifa kwa manufaa ya watanzania wa sasa na vizazi vijavyo.

Mungu mbariki Rais wetu, Mungu wabariki watanzania, Mungu bariki rasilimali zetu za Taifa. Amen.
Kwani huyo faru John aliuzwa mwaka gani
 
Wazir mkuu alisema kuwa serikali imetoa trilion 1 kununua madawa. Magufuli akasema serikali imetoa billion 200 kunuNua dawa. Nani apo ni muongo?
Muongo ni waziri ila wanishati na madini[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji15] [emoji18] [emoji198] [emoji198] [emoji198]
 
Mama yake mdogo le mutuz aliongoa ukweli wakamfukuza huyu kaongea uongo wanamuacha sijui hii ni serikali awamu ya 5 ni matatizo tu mara rambirambi mara pesa za wahanga kununua ndege mimi sijui tu hapa kwetu Arusha ccm hawatapata chochote.

swissme
#CHOMAKADICCM#
 
Kuna kila dalili kwamba Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe amekalia kuti kavu, tena kavu kwelikweli.

Sakata la kuuzwa kwa faru John na kisha yeye kubariki uuzwaji huo ni udhaifu mkubwa sana na kigezo tosha cha kumfanya aondolewe kwenye nafasi yake ya sasa. Kwa mujibu wa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Majaliwa, inasemekana faru huyo aliuzwa kwa thamani ya Tsh milion 200, ambapo wauzaji walitanguliziwa malipo ya Tsh milioni 100. Waziri mkuu hawezi kusema uongo. Ni dhahiri anazo taarifa za uhakika za kiintelejensia kwamba faru ameuzwa kwa bei hiyo ya kutupwa. Ndio maana wahifadhi wanashindwa kuonyesha kaburi lake lilipo kama kweli mnyama huyo wa porini alikufa.

Sintofahamu hii inakolezwa zaidi na Maghembe mwenyewe aliyediriki kumdanganya Waziri Mkuu, kwa kushirikiana na wezi wenzake, kwamba faru yule 'amekufa' huku akijua kwamba anasema uongo. Kwa sababu hizi, pamoja na sababu nyingine ambazo bado hazijawekwa wazi ili kumtumzia heshima profesa huyu, kuna kila dalili kwamba huenda Rais, Dr Joseph Pombe akatengua uteuzi wake kabla hajamaliza faru wetu.

Ikiwa waziri mwenye dhamana ya kulinda rasilimali zetu, ama kwa kujua au kwa makusudi, ameamua kushirikiana na majangili kufilisi rasilimali zetu kuna haja gani ya kuendelea kukalia kiti cha uwaziri? Kwa dhati kabisa bila unafiki wowote, mimi namuunga mkono Rais Pombe katika utumbuaji huu. Ifike wakati kila mtu aheshimu rasilimali za taifa kwa manufaa ya watanzania wa sasa na vizazi vijavyo.

Mungu mbariki Rais wetu, Mungu wabariki watanzania, Mungu bariki rasilimali zetu za Taifa. Amen.
Hii wizara mtu aliyekuwa sahihi pale alikuwa kagesheki ni hiz siasa zetu za kijinga zimeshindwa kuuona huo ukweli.
 
Faru anawahenyesha watu wazima. Tunaacha kufanya ya msingi wanahangaika na faru aliepigwa dili.
 
Mkuu sio kweli kwamba waziri mkuu hawezi kusema uongo.
Asiseme uongo kwa nini wakati yeye ni binadamu?

Pili, huyo mwandishi amesema waziri mkuu anazo taarifa..., anajuaje kama hizo taarifa alizo nazo ni sahihi?
 
Sidhani kama Prof Maghembe anahusika moja kwa moja kwenye hili sakata, hivi huo mchakato wa kumhamisha Faru John ulifanyika wakati Prof ni waziri wa maliasili na utalii? au ndo dhana pana ya uwajibikaji?
 
Wazir mkuu alisema kuwa serikali imetoa trilion 1 kununua madawa. Magufuli akasema serikali imetoa billion 200 kunuNua dawa. Nani apo ni muongo?
Unaweza kutupa evidence ya hizo statement mbili? MaanA ipo tabia ya kubadilisha maelezo kwa sababu binafsi
 
Back
Top Bottom