Waziri Mailu athibitisha maafisa 50 wa polisi waliambukizwa kipindupindu

Waziri Mailu athibitisha maafisa 50 wa polisi waliambukizwa kipindupindu

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
Waziri wa afya Cleopa Mailu amethibitisha kuwa maafisa 50 wa polisi waliambukizwa maradhi ya kipindupindu na 47 kati yao bado wamelazwa kwenye hospitali kuu ya Kenyatta. Maafisa hao walikuwa wakiishi kwenye chuo kikuu cha Multi Media mjini Rongai. Inadaiwa maafisa hao walikula chakula kutoka kwa kampuni ya utoaji huduma ya vyakula. Mailu alitangaza marufuku dhidi ya uchuuzi wa chakula jijini Nairobi.

CHANZO: Radio Taifa
 
Back
Top Bottom