Waziri Makamba ana "traits" za kuwa Rais baada ya Samia. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni

🤣🤣🤣 Nani sasa,mimi sio Makamba mkuu ila nimevutiwa nae Sana.

Kama kuna Waziri unamfahamu yuko good kumzidi na wewe unaweza kumtaja your favourite.
Kwani lazima
Alaa kumbe Urais ni kugawana kwa mtindo wa Dini? Rubbish.

Mwenye sifa ni nani unaezani anamzidi Makamba JR.
Kwani lazima Raisi atoke miongoni mwa mawaziri?? Shughulisha kichwa chako, acha uvivu wa kufikiri!!
 
Mkuu umesahau utaratibu wa DINI! Anakuja MKRISTO.

Nusu Muislamu nusu Mkristo atatufaa huyu
Alisikika mlevi mmoja akiropoka AKIWA pande za Asante Bibi Club Kimara Bonyokwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji481]
 
Kama amekosekana kabisa mtu ni heri tusiwe na Rais tu ijulikane kuliko huyo Jamaa.

U-smart wa JM unaonwa na wajinga tu,kwa werevu hakuna mtu pale.
 
Mimi naona tupate katiba mpya afu huo muda tumpe uraisi #niyeye baada ya Mhe Samia Suluhu Hassan. Ajaye awe lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…