Waziri Makamba ana "traits" za kuwa Rais baada ya Samia. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni

Waziri Makamba ana "traits" za kuwa Rais baada ya Samia. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni

Marope hata kuwa mwenyekiti wa kijiji hafai kinachombeba pale ni jina la mzee wake,nadhan watanzania uwezo wetu wa kufikiri una shida kama watu wengi wanaamini marope ni mtu smart
 
Kumbe naweza kumlima bloki ndezi huyo
Aaaah sana tu bro...mi nishawatembezea block mandezi kibao humu ndani, sitaki stress kabisa.
Sometime unaona kabisa kaandika upuuzi or uongo, guts zina ku prompt kumuelewesha/kumjibu baadae unagundua huyu pamoja na kueleweshwa na kujua alichoandika ni uongo ila still anafanya kusudi kujifanya hamnazo.
Gonga Block tu ili next time nisipoteze muda kumjibu mtu wa dizaini hio.
 
Makamba yupo vizuri sana. Anasema nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi. Wa Tanzania wengi hawapendi ukweli, ndio maana Mama Samia anawaambia ukweli ili wajiandae kisaikolojia kuhusu hari ya uchumi. Wabongo wamezoea kipindi cha Magu kudanganywa kuwa uchumi unakua asilimia 7, kumbe uongo upo asilimia 2 huko. Samia na Makamba wanaamini katika uwazi na ukweli kwa wananchi wetu, kwenye shida tuwaambie na kwenye neema pia wajue. Najua wanasiasa maslahi wengi hawawapendi, lakini wasonge mbele tu.
 
Kwenye Mihemko nakupinga
Kumbuka lile jibu alilomjibu Msukuma bungeni kuhusu kukatika kwa Umeme
Alisema kama hupendi kuwa Samia Rais wako au yeye kuwa Waziri useme.!
 
Aaaah sana tu bro...mi nishawatembezea block mandezi kibao humu ndani, sitaki stress kabisa.
Sometime unaona kabisa kaandika upuuzi or uongo, guts zina ku prompt kumuelewesha/kumjibu baadae unagundua huyu pamoja na kueleweshwa na kujua alichoandika ni uongo ila still anafanya kusudi kujifanya hamnazo.
Gonga Block tu ili next time nisipoteze muda kumjibu mtu wa dizaini hio.
Big ndezi 😬😬😬
 
Makamba

Nape

Mwigulu

Hawafai hats kidogo kuwa marais

Ya heri apitishwe yule msoga Junior

Kuliko hao jamss japo nae ni mwingi wa habari
 
Back
Top Bottom