Waziri Makamba ana "traits" za kuwa Rais baada ya Samia. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni

Waziri Makamba ana "traits" za kuwa Rais baada ya Samia. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni

-Kwani Amesema nini kuhusu wananchi kutojengewa service line mpya toka January 2022 mpaka hivi leo.
-kwani amesaje kuhusu upatikanaji wa nyaya za 50mm mfano hai Kuna rafiki yangu na wateja wengine, wengi Sana zimesimikwa nguzo bila kuunganishwa wire wa 50 mm kutoka ulipoishia umeme kwenda kwenye nguzo hizo toka October 2021 mpaka March 2022 wameshindwa kupata wire.
-Mfano hai, nenda TANESCO Chanika (Mkoa wa Ilala ki-tanesco).
-Kama taasisi yake ya TANESCO imeshindwa kuagiza nyaya za 50mm miezi 6 ataweza kuongoza nchi.
- Maswali ya Jana (waandishi wanne wa kwanza) na majibu, ni yakupangwa, ndiyo maana hata waongozaji wa kipindi walikuwa wanaita kwa majina wauliza maswali na wakiona,wewe siyo mtu wao,hupewi nafasi ya kuuliza swali.
-Kilichofanyika ni usanii au maigizo tu.
-Tanesco sijui wanakwama wapi kuhusu kutoa huduma kwa wateja wapya?
-Mradi wa LIquified Gas, ambao ulipangwa kutekelezwa Mitwelo Lindi sijui umeidhia wapi, wananchi wamelilwa fidia tayari.
-Jana nimesikia mpango wa kuleta meli yenye uwezo wa kubeba Lita 45,000 mara moja badala ya sasa tunapoagiza lita 7,000 ambayo husababisha kupanda gharama za bei ya gesi.
Tafuta mahojiano yote utayakita na majibu utayapata.

Sio kila jambo ni la Waziri bali maamuzi mengi ni ya Baraza la Mawaziri.

Mambo ya nyaya na tuvitu tudogo tudogo ni twa Tanesco huko huko mkoani na wakuu wa Mikoa wabaneni hao.
 
Huyo hafai kabisa labda abebwe Kwa mbeleko umeme, mafuta na gesi vimemshinda akipewa nchi ataiweza?
Vimemshindaje? Unataka ukweli au unataka kuambiwa uongo kama mwanamke anapotongozwa Ili kukufurahisha?

Mwisho kwani Kwa mfano wewe unakuwa Waziri wa Nishati utafanyaje Ili hayo yote uliyoyasema yakamilike kwa mwaka 1? Nipe jibu.
 
Bila kupoteza muda.

Ni hivi ukiangalia Baraza lote la Mawaziri la sasa mwanasiasa pekee mwenye ushawishi na mwenye traits za kuwa Rais ni January Makamba.

He seems to be well informed,anajiamiji,interactive na kichwani ni smart na anajua kuongea na kupangilia mambo.Kiufupi yuko smart na ana exposure ya kutosha.

Sio mtu wa mihemko wala kuendeshwa kirahisi rahisi na pressure za kisiasa.

Nimekuja kufuatilia kwa nini watu wanamshambulia nimegundua ni vile anaonekana ni tishio kwa walio wengi kwenye Urais baada ya Samia.

Jana alikuwa live kwenye kipindi cha mwaka mmja wa Rais akielezea mafanikio, changamoto na dira ya Wizara ya Nishati.

Maswali yote yanayoulizwaga humu jukwaani Kuhusu kukatika kwa umeme,sijui kuchelewesha Bwawa and such nonsense ameyajibu kwa weledi na evidences kabisa ndio maana hadi saizi huwezi akina Msukuma na genge lake wakiwa na hoja.

Swala la kwa nini awamu iliyopita umeme ulikuwa haukatiki uje kukatika sasa amelijibu vyema kabisa tena akaja na Takwimu na history ya masuala ya umeme.

Kwa jinsi nilivyomtathmini ni wazi anafaa kumrithi Samia,sijaona mtu mwingine yeyote wa kumzidi labda kwa mbali Mwigulu anaweza kumsogelea but Mwigulu ana ego na majivuno Sana.

Ngoja tuone mda utasema.

Anafaa kuchukua nafasi ya Karia pale TFF.
 
Hakuna niliposema watu kuhoji ni nonsense bali kuna ile kutoa sababu zilizo wazi kabisa lakini mtu anaendelea kukomaa kwa hisia..

Unakuta mtu anasema Waziri anahujumu Bwawa Ili wauze majenereta,this nonsense na huyo huyo hana ushahidi.

Hata Mwendazake aliwaaminisha watu kwamba eti Kuna watu walikuwa wanaenda kumwaga maji kwenye mabwawa ya umeme Ili wauze majenereta kitu ambacho ni uongo na nonsense.

Yaani mtu anatafuta cheap popularity kwa kutunga uongo kuwa fool wajinga.

Tuhuma alizotoa Mwendazake ni uhujumu uchumi lakini unfortunately hakumfikisha kizimbani mtu yeyote wala kumtaja kwa jina Ili tuwajue.
Jiulize kwa nn wakati wa magufuli umeme ulikuwa haukatiki ila Leo unakatika?
 
Nikiku assess faster naona kama ulizaliwa njiti. Ni ya kisayansi si ramli lakini
 
Una matatizo ya kufikiri wewe. Labda akawe raisi wa ukoo wenu ila sio wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Hamna kitu hapo....
 
Baada ya Rais Samia inakuja zamu ya Wakristo.

Labda umzungumzie Dr Mwigullu Nchemba au Dr Tulia Ackson!
Ni sehemu gani ya katiba inaelezea kuwa imani na dini mojawapo ya sifa za uteuzi wa mgombea nafasi ya uraisi?!
 
Bila kupoteza muda.

Ni hivi ukiangalia Baraza lote la Mawaziri la sasa mwanasiasa pekee mwenye ushawishi na mwenye traits za kuwa Rais ni January Makamba.

He seems to be well informed,anajiamiji,interactive na kichwani ni smart na anajua kuongea na kupangilia mambo.Kiufupi yuko smart na ana exposure ya kutosha.

Sio mtu wa mihemko wala kuendeshwa kirahisi rahisi na pressure za kisiasa.

Nimekuja kufuatilia kwa nini watu wanamshambulia nimegundua ni vile anaonekana ni tishio kwa walio wengi kwenye Urais baada ya Samia.

Jana alikuwa live kwenye kipindi cha mwaka mmja wa Rais akielezea mafanikio, changamoto na dira ya Wizara ya Nishati.

Maswali yote yanayoulizwaga humu jukwaani Kuhusu kukatika kwa umeme,sijui kuchelewesha Bwawa and such nonsense ameyajibu kwa weledi na evidences kabisa ndio maana hadi saizi huwezi akina Msukuma na genge lake wakiwa na hoja.

Swala la kwa nini awamu iliyopita umeme ulikuwa haukatiki uje kukatika sasa amelijibu vyema kabisa tena akaja na Takwimu na history ya masuala ya umeme.

Kwa jinsi nilivyomtathmini ni wazi anafaa kumrithi Samia,sijaona mtu mwingine yeyote wa kumzidi labda kwa mbali Mwigulu anaweza kumsogelea but Mwigulu ana ego na majivuno Sana.

Ngoja tuone mda utasema.

Elimu duni boss! Hana lolote zaidi ya kukariri ya internet.
 
Katika kinyang'anyiro cha kugombea nafasi ya urais ndani ya CCM mwaka 2015, walijitokeza wagombea wengi sana. January Makamba aliweza kuingia katika orodha ya tano bora huku majina makubwa ya makada wazoefu yakienguliwa kabla yake.

Jambo hili linadhihirisha jambo moja, pamoja na uchanga wake kwa wakati ule ndani ya chama chake, January bado alikuwa na ushawishi mkubwa. Kwa sasa bado anazidi kujijenga na kujiimarisha zaidi.

Licha ya kupata dhoruba ya kisiasa wakati ule wa JPM, pale alipodukuliwa akimteta kwa kumbagaza aliyekuwa bosi wake na hatimaye kuondolewa katika baraza la mawaziri. Lakini jambo hilo halikuweza kumtoa na kumtupa nje wa wigo wa siasa ndani ya chama chake.

Wote tunaiona "come back" yake, pale alipoitwa tena na Rais SSH kuhudumu katika wizara nyeti ya nishati. January si yule tena wa mwaka 2015, kwa sasa ni mwenye kujiamini, uthubutu, ubunifu, sifa ya mchapa kazi, sifa za ukweli na uwazi, mjengaji mzuri wa hoja, kutafuta kujifunza, kutokuishi kwa mazoea, sifa ya kuchukua hatua pale panapostahili ikiwemo kuwawajibisha wabadhirifu wa mali za umma na sifa nyingine za kadhaa.

January anaungwa mkono na viongozi wengi wastaafu, wazee wa chama na hata mfumo uliopo. Hii ndiyo sababu kubwa ya chuki za mahasimu wake dhidi yake. Huyu na Dr. Emmanuel Nchimbi ndiyo vipenzi wa mfumo, lakini January ana sifa ya ziada ya kuwa ni mzao wa baba ambaye ni Muislamu - BAKWATA na mama amvaye ni Mkristu - Mkatoliki.

But all in all, CDM ipo tayari kutwaa na kushika dola mwaka 2025. Hayo ya ngoswe tunawaachia ngoswe wenyewe.
Huu Ni uandishi wa makamba kabisa, acha kujipigia promo bwana ndg.
 
Bila kupoteza muda.

Ni hivi ukiangalia Baraza lote la Mawaziri la sasa mwanasiasa pekee mwenye ushawishi na mwenye traits za kuwa Rais ni January Makamba.

He seems to be well informed,anajiamiji,interactive na kichwani ni smart na anajua kuongea na kupangilia mambo.Kiufupi yuko smart na ana exposure ya kutosha.

Sio mtu wa mihemko wala kuendeshwa kirahisi rahisi na pressure za kisiasa.

Nimekuja kufuatilia kwa nini watu wanamshambulia nimegundua ni vile anaonekana ni tishio kwa walio wengi kwenye Urais baada ya Samia.

Jana alikuwa live kwenye kipindi cha mwaka mmja wa Rais akielezea mafanikio, changamoto na dira ya Wizara ya Nishati.

Maswali yote yanayoulizwaga humu jukwaani Kuhusu kukatika kwa umeme,sijui kuchelewesha Bwawa and such nonsense ameyajibu kwa weledi na evidences kabisa ndio maana hadi saizi huwezi akina Msukuma na genge lake wakiwa na hoja.

Swala la kwa nini awamu iliyopita umeme ulikuwa haukatiki uje kukatika sasa amelijibu vyema kabisa tena akaja na Takwimu na history ya masuala ya umeme.

Kwa jinsi nilivyomtathmini ni wazi anafaa kumrithi Samia,sijaona mtu mwingine yeyote wa kumzidi labda kwa mbali Mwigulu anaweza kumsogelea but Mwigulu ana ego na majivuno Sana.

Ngoja tuone mda utasema.

baada ya samia, anatakiwa kuwa rais mkristo. usidanganywe.
 
Back
Top Bottom