Izato
JF-Expert Member
- May 15, 2019
- 5,441
- 11,669
Mkuu, kwanza naomba tuelewane kuhusu msimamo wangu. Mimi naamini wakati umefika kwa CDM kuaminika na umma wa Watanzania ili ipate kushika dola na kuwaongoza, kama kweli tuna nia ya dhati ya kuleta mageuzi ya kweli ya kiuchumi na kijamii hapa nchini.Monitoring and evaluation hata kama unaletewa riport mezani ni lazima uende ukashuhudie unacholetewa. Wewe na huyo Mh Makamba unaye muandikia sijui kama mnajua hulka za Watanzania walio wengi.Usiongoze Watanzania kama unaongoza wale wazungu na waswahili wa Boston. Wako waliokuwa wanamuita Marehemu JPM mshamba kumbe anawajua watu wake Watanzania. Mlipeni Dr Slaa awasaidie mlipokengeuka kuhusu uongozi wa JPM hamna jinsi.
Lakini la pili ni kuhusu hili jumba bovu tulilokuwa nalo. Yaani kama CCM wakiendekea na umahiri wao katika wizi wa kura na kuhujumu chaguzi zijazo, basi "best candidate" nje ya Madam President SSH ni JYM.
Menejimenti katika rasilimali watu ni usanii wa kufanikisha utendaji wa kazi zako kupitia wafanyakazi walio chini yako (art of doing things through others). Ndiyo maana timu ikishinda sifa humuendea kocha, na ikivurunda huwajibishwa pia.
Kazi kubwa za waziri za kila siku ni "planning, directing, organising & coordinating (i.e. staffing), leading, and controlling" Anapaswa ahakikishe kupitia kazi hizi anapata "proper feedback" kwa kila maelezo anayoyatoa kwa wasaidizi wake.
M&R ni sehemu tu ya "controlling function" yenyewe. Kwa hiyo kila siku anapaswa kufanya hivyo kupitia wasaidizi wake.
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app