uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,789
- 4,461
Hawezi kuja kua Rais
🤣🤣🤣 Nani sasa,mimi sio Makamba mkuu ila nimevutiwa nae Sana.
Kama kuna Waziri unamfahamu yuko good kumzidi na wewe unaweza kumtaja your favourite.
Mimi nimechokoza sijahukumu ujumbe wangu namsifia January anafaa zaidi ijulikane hivoUmesoma bandiko langu au umekurupuka?
Hakuna niliposema Makamba amemzidi umaarufu Rais ila nimeelezea wasifu wake mwingine tuu na nikasema anafaa kuwa successor wa Madam Samia.
Hakuna niliposema watu kuhoji ni nonsense bali kuna ile kutoa sababu zilizo wazi kabisa lakini mtu anaendelea kukomaa kwa hisia..Hapa ndio umeonesha dhahiri uCHAWA!! Watu kuhoji mradi wao wewe unaona ni nonsense!! Makamba anachoweza ni kuadmin akaunti za twitter za Magufuli na Samia, mengine amefeli.
Hacha udini, kifungu gani cha katiba kina hicho kipengele, kumbuka hii ni nchi ya kidemkrasi yenye mfumo wa vyama vingi.Baada ya Rais Samia inakuja zamu ya Wakristo.
Labda umzungumzie Dr Mwigullu Nchemba au Dr Tulia Ackson!
Hapo sasa !! Nilisahau ! Kitumbua kimeshaingia mchanga !! Maana kitu hii haiwezi ikabadilishwa kipindi ambacho muislamu ndio Rais ! Katika teuzi tu za kawaida anazozifanya Rais sikiliza critics zinazotolewa seuze Zibadilike taratibu walizojiwekea za kumpata Rais !!. Hiyo ni ndoto bandugu !!!Baada ya Rais Samia inakuja zamu ya Wakristo.
Labda umzungumzie Dr Mwigullu Nchemba au Dr Tulia Ackson!
Katiba mpya haiondoi sifa za mtu,hata kwenye Katiba mpya wagombea ndio Hawa Hawa.Waziri wa nini? Magoli hayahami. Katiba mpya ni sasa.
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]Baada ya Rais Samia inakuja zamu ya Wakristo.
Labda umzungumzie Dr Mwigullu Nchemba au Dr Tulia Ackson!
Kwanini awe successor wakati ni sasa na ni 2025 Utopolo wa kusubiri hakuna, 2025 ni Makamba or else ni HAHM not more not less.Umesoma bandiko langu au umekurupuka?
Hakuna niliposema Makamba amemzidi umaarufu Rais ila nimeelezea wasifu wake mwingine tuu na nikasema anafaa kuwa successor wa Madam Samia.
Kwa nini? Kwamba wewe ndio unapanga Marais wa Tzn?Hawezi kuja kua Rais
Hata ukikasirika ukweli ndio huo ndani ya chama tawala.Hacha udini, kifungu gani cha katiba kina hicho kipengele, kumbuka hii ni nchi ya kidemkrasi yenye mfumo wa vyama vingi.
Hivi ulishawahi japo kidogo kuishughulisha akili yako kuwa kipindi cha mwenda zake akiwa Rais, kama asingekufa hadi ukomo wa urais wake, baada ya hapo rais angekuwa Lissu, Mbowe au James Mbatia hilo wazo lako mfu ungelileta hapa?
This is nonsense kama ni kigezoMkuu umesahau utaratibu wa DINI! Anakuja MKRISTO.
Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
Umemshinda kivipi? Naomba jibuUmeme umemshinda, JMT ndio ataiweza?
Sasa ukiwa na cheap mind za kushikiwa na utoto lazima uwaze hivyo,so it up to you,mimi hayanihusu.Sijasoma Bandiko lako lakini mi nahisi wewe ni CHAWA wa huyo unayempigia promo.
Katiba mpya haiondoi sifa za mtu,hata kwenye Katiba mpya wagombea ndio Hawa Hawa.
Fafanua,what is that
Tuwasubirie wenye chama Chao ila binafsi naona Samia anafanya vizuri kwa sababu amepanga safu yake vyema.Kwanini awe successor wakati ni sasa na ni 2025 Utopolo wa kusubiri hakuna, 2025 ni Makamba or else ni HAHM not more not less.
Ni sahihi na hili ni tatizo kubwa Sana kwa Tzn,mnaweza poteza watu wenye uwezo kwa sababu za kijinga.Yuko smart and visionary, sema wakati mwingine mfumo unaweza kumfanya mtu akaonekana bogus.
Hongera kwa mtazamo huo, mi hajanishawishi kabisa hii tabia ya mkakae, tutaangalia sijui urais ni taasis hapana, tunahitaji Rais serious wa kutoshea ikuluTuwasubirie wenye chama Chao ila binafsi naona Samia anafanya vizuri kwa sababu amepanga safu yake vyema.
Ambae anakuaje ?Hongera kwa mtazamo huo, mi hajanishawishi kabisa hii tabia ya mkakae, tutaangalia sijui urais ni taasis hapana, tunahitaji Rais serious wa kutoshea ikulu