Waziri Makamba ana "traits" za kuwa Rais baada ya Samia. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni

Bila kupoteza muda.

Ni hivi ukiangalia Baraza lote la Mawaziri la sasa mwanasiasa pekee mwenye ushawishi na mwenye traits za kuwa Rais ni January Makamba.

He seems to be well informed,anajiamiji,interactive na kichwani ni smart na anajua kuongea na kupangilia mambo.Kiufupi yuko smart na ana exposure ya kutosha.

Sio mtu wa mihemko wala kuendeshwa kirahisi rahisi na pressure za kisiasa.

Nimekuja kufuatilia kwa nini watu wanamshambulia nimegundua ni vile anaonekana ni tishio kwa walio wengi kwenye Urais baada ya Samia.

Jana alikuwa live kwenye kipindi cha mwaka mmja wa Rais akielezea mafanikio, changamoto na dira ya Wizara ya Nishati.

Maswali yote yanayoulizwaga humu jukwaani Kuhusu kukatika kwa umeme,sijui kuchelewesha Bwawa and such nonsense ameyajibu kwa weledi na evidences kabisa ndio maana hadi saizi huwezi akina Msukuma na genge lake wakiwa na hoja.

Swala la kwa nini awamu iliyopita umeme ulikuwa haukatiki uje kukatika sasa amelijibu vyema kabisa tena akaja na Takwimu na history ya masuala ya umeme.

Kwa jinsi nilivyomtathmini ni wazi anafaa kumrithi Samia,sijaona mtu mwingine yeyote wa kumzidi labda kwa mbali Mwigulu anaweza kumsogelea but Mwigulu ana ego na majivuno Sana.

Ngoja tuone mda utasema.

View attachment 2163736
Kwamba anafaa kuwa rais,hiyo sijui lakini ni kweli huyo jamaa yuko smart kabisa na hakuna mtu humu anaweza kumbabaisha
 
Mnampamba kama kawaida yenu, tueleze smartness yake iko katika vitu gani, amefanya nini, amefanikisha nini. Acheni ushamba wa kusifia kila takataka
 
🤣🤣🤣 Nani sasa,mimi sio Makamba mkuu ila nimevutiwa nae Sana.

Kama kuna Waziri unamfahamu yuko good kumzidi na wewe unaweza kumtaja your favourite.

Bila kupoteza muda.

Ni hivi ukiangalia Baraza lote la Mawaziri la sasa mwanasiasa pekee mwenye ushawishi na mwenye traits za kuwa Rais ni January Makamba.

He seems to be well informed,anajiamiji,interactive na kichwani ni smart na anajua kuongea na kupangilia mambo.Kiufupi yuko smart na ana exposure ya kutosha.

Sio mtu wa mihemko wala kuendeshwa kirahisi rahisi na pressure za kisiasa.

Nimekuja kufuatilia kwa nini watu wanamshambulia nimegundua ni vile anaonekana ni tishio kwa walio wengi kwenye Urais baada ya Samia.

Jana alikuwa live kwenye kipindi cha mwaka mmja wa Rais akielezea mafanikio, changamoto na dira ya Wizara ya Nishati.

Maswali yote yanayoulizwaga humu jukwaani Kuhusu kukatika kwa umeme,sijui kuchelewesha Bwawa and such nonsense ameyajibu kwa weledi na evidences kabisa ndio maana hadi saizi huwezi akina Msukuma na genge lake wakiwa na hoja.

Swala la kwa nini awamu iliyopita umeme ulikuwa haukatiki uje kukatika sasa amelijibu vyema kabisa tena akaja na Takwimu na history ya masuala ya umeme.

Kwa jinsi nilivyomtathmini ni wazi anafaa kumrithi Samia,sijaona mtu mwingine yeyote wa kumzidi labda kwa mbali Mwigulu anaweza kumsogelea but Mwigulu ana ego na majivuno Sana.

Ngoja tuone mda utasema.

Bila kupoteza muda.

Ni hivi ukiangalia Baraza lote la Mawaziri la sasa mwanasiasa pekee mwenye ushawishi na mwenye traits za kuwa Rais ni January Makamba.

He seems to be well informed,anajiamiji,interactive na kichwani ni smart na anajua kuongea na kupangilia mambo.Kiufupi yuko smart na ana exposure ya kutosha.

Sio mtu wa mihemko wala kuendeshwa kirahisi rahisi na pressure za kisiasa.

Nimekuja kufuatilia kwa nini watu wanamshambulia nimegundua ni vile anaonekana ni tishio kwa walio wengi kwenye Urais baada ya Samia.

Jana alikuwa live kwenye kipindi cha mwaka mmja wa Rais akielezea mafanikio, changamoto na dira ya Wizara ya Nishati.

Maswali yote yanayoulizwaga humu jukwaani Kuhusu kukatika kwa umeme,sijui kuchelewesha Bwawa and such nonsense ameyajibu kwa weledi na evidences kabisa ndio maana hadi saizi huwezi akina Msukuma na genge lake wakiwa na hoja.

Swala la kwa nini awamu iliyopita umeme ulikuwa haukatiki uje kukatika sasa amelijibu vyema kabisa tena akaja na Takwimu na history ya masuala ya umeme.

Kwa jinsi nilivyomtathmini ni wazi anafaa kumrithi Samia,sijaona mtu mwingine yeyote wa kumzidi labda kwa mbali Mwigulu anaweza kumsogelea but Mwigulu ana ego na majivuno Sana.

Ngoja tuone mda utasema.

Kama atashindanishwa bila kuiba kura anaweza.Lakin tukiwa na katiba nzuri na kila kijana wa kitanzania mwenye sifa akashiriki ,atakuwa wa mwisho. Sifa yake kuu ni kuiba kura tu Kama alivyoiba mitihani.Tuwe na uwezo wa kufikiri nje ya box.Tusiwe tunafikiri kiwango cha chini Kama hivyo.
 
Hii ni Kazi ya CCM,yeye alipewa jukumu na chama kwa manufaa ya chama Chao na mgombea wao Mwendazake.
 
Bila kupoteza muda.

Ni hivi ukiangalia Baraza lote la Mawaziri la sasa mwanasiasa pekee mwenye ushawishi na mwenye traits za kuwa Rais ni January Makamba.

He seems to be well informed,anajiamiji,interactive na kichwani ni smart na anajua kuongea na kupangilia mambo.Kiufupi yuko smart na ana exposure ya kutosha.

Sio mtu wa mihemko wala kuendeshwa kirahisi rahisi na pressure za kisiasa.

Nimekuja kufuatilia kwa nini watu wanamshambulia nimegundua ni vile anaonekana ni tishio kwa walio wengi kwenye Urais baada ya Samia.

Jana alikuwa live kwenye kipindi cha mwaka mmja wa Rais akielezea mafanikio, changamoto na dira ya Wizara ya Nishati.

Maswali yote yanayoulizwaga humu jukwaani Kuhusu kukatika kwa umeme,sijui kuchelewesha Bwawa and such nonsense ameyajibu kwa weledi na evidences kabisa ndio maana hadi saizi huwezi akina Msukuma na genge lake wakiwa na hoja.

Swala la kwa nini awamu iliyopita umeme ulikuwa haukatiki uje kukatika sasa amelijibu vyema kabisa tena akaja na Takwimu na history ya masuala ya umeme.

Kwa jinsi nilivyomtathmini ni wazi anafaa kumrithi Samia,sijaona mtu mwingine yeyote wa kumzidi labda kwa mbali Mwigulu anaweza kumsogelea but Mwigulu ana ego na majivuno Sana.

Ngoja tuone mda utasema.

Abadili dini kwanza.
(hii ni according to the CCM 'tradition')
 
Hapa ndio umeonesha dhahiri uCHAWA!! Watu kuhoji mradi wao wewe unaona ni nonsense!!

Makamba anachoweza ni kuadmin akaunti za twitter za Magufuli na Samia, mengine amefeli.
Na ku-hack(kudukua) mitandao.
 
Bila kupoteza muda.

Ni hivi ukiangalia Baraza lote la Mawaziri la sasa mwanasiasa pekee mwenye ushawishi na mwenye traits za kuwa Rais ni January Makamba.

He seems to be well informed,anajiamiji,interactive na kichwani ni smart na anajua kuongea na kupangilia mambo.Kiufupi yuko smart na ana exposure ya kutosha.

Sio mtu wa mihemko wala kuendeshwa kirahisi rahisi na pressure za kisiasa.

Nimekuja kufuatilia kwa nini watu wanamshambulia nimegundua ni vile anaonekana ni tishio kwa walio wengi kwenye Urais baada ya Samia.

Jana alikuwa live kwenye kipindi cha mwaka mmja wa Rais akielezea mafanikio, changamoto na dira ya Wizara ya Nishati.

Maswali yote yanayoulizwaga humu jukwaani Kuhusu kukatika kwa umeme,sijui kuchelewesha Bwawa and such nonsense ameyajibu kwa weledi na evidences kabisa ndio maana hadi saizi huwezi akina Msukuma na genge lake wakiwa na hoja.

Swala la kwa nini awamu iliyopita umeme ulikuwa haukatiki uje kukatika sasa amelijibu vyema kabisa tena akaja na Takwimu na history ya masuala ya umeme.

Kwa jinsi nilivyomtathmini ni wazi anafaa kumrithi Samia,sijaona mtu mwingine yeyote wa kumzidi labda kwa mbali Mwigulu anaweza kumsogelea but Mwigulu ana ego na majivuno Sana.

Ngoja tuone mda utasema.

Labda Rais wa WCB
 
  • Thanks
Reactions: Qwy

Chini ya CCM, chochote kinawezekana.
Chini ya CCM, kama Mwinyi Alli Hassan, Jakaya Kikwete na JPM wameweza kuwa marais, basi naamini yeyote anaweza kuwa.
Tatizo kubwa ni kuwa ndani ya CCM hii ya sasa, hakuna mwenye sifa stahiki za kuwa rais wa Tanzania atakayeleta mabadiliko makubwa kwenye nyanja na sekta zote za kuipaisha Tanzania.
Rais bora atatoka nnje ya mfumo huu wa CCM ya sasa.
 
Hapo ndo unaona jinsi CCM ilivyoishiwa viongozi. Mpaka tunaanza kuwafikiria akina January. Kwanza zamu ya wakristo.
 
Alaa kumbe Urais ni kugawana kwa mtindo wa Dini? Rubbish.

Mwenye sifa ni nani unaezani anamzidi Makamba JR.
Ukiweka kando huo utaratibu 'mbovu' wa CCM wa kudhani utaratibu wa kupokezana dini ni aina flani ya 'fairplay' bado Makamba ni rubbish(takataka) na yuko pale alipo si kwa weledi, uwezo au kwamba amepigana vikumbo vya kisiasa bali yuko pale kwa mbeleko.
Yoyote aneyeamini January ana potential ya kuwa kiongozi wa aina yoyote achilia mbali uwezo wa kuongoza nchi basi akili zake na za January hazina tofauti yoyote.
 
Back
Top Bottom