Waziri Makamba ana "traits" za kuwa Rais baada ya Samia. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni

HUMPREY POLEPOLE NDIO RAISI AJAE ikishindikana atakua WAZIRI MKUU.

2030 HIYO.
 
Labda awe Rais wako pamoja na mke wako🐒🐒🐒
FOeB-xHWQAwQwM7.jpg
 
Bora kumpa Steve Nyerere awe raisi kuliko makamba kipi cha maana alichofanya cha zaidi
 
Ukiweka kando huo utaratibu 'mbovu' wa CCM wa kudhani utaratibu wa kupokezana dini ni aina flani ya 'fairplay' bado Makamba ni rubbish(takataka) na yuko pale alipo si kwa weledi, uwezo au kwamba amepigana vikumbo vya kisiasa bali yuko pale kwa mbeleko.
Yoyote aneyeamini January ana potential ya kuwa kiongozi wa aina yoyote achilia mbali uwezo wa kuongoza nchi basi akili zake na za January hazina tofauti yoyote.
Ni sifa njema kufananishwa na January,ni dhahiri ana uwezo ambao wewe na unadhani anao mnahofia.

Ndio maana hamna hoja mna vioja vya matusi.
 
Chini ya CCM, chochote kinawezekana.
Chini ya CCM, kama Mwinyi Alli Hassan, Jakaya Kikwete na JPM wameweza kuwa marais, basi naamini yeyote anaweza kuwa.
Tatizo kubwa ni kuwa ndani ya CCM hii ya sasa, hakuna mwenye sifa stahiki za kuwa rais wa Tanzania atakayeleta mabadiliko makubwa kwenye nyanja na sekta zote za kuipaisha Tanzania.
Rais bora atatoka nnje ya mfumo huu wa CCM ya sasa.
Wewe unadhani ni yupi anaeweza kuleta mabadiliko unayoyataka?

Kwa mfano wewe unataka mabadiliko gani hasa?
 
Bila kupoteza muda.

Ni hivi ukiangalia Baraza lote la Mawaziri la sasa mwanasiasa pekee mwenye ushawishi na mwenye traits za kuwa Rais ni January Makamba.

He seems to be well informed,anajiamiji,interactive na kichwani ni smart na anajua kuongea na kupangilia mambo.Kiufupi yuko smart na ana exposure ya kutosha.

Sio mtu wa mihemko wala kuendeshwa kirahisi rahisi na pressure za kisiasa.

Nimekuja kufuatilia kwa nini watu wanamshambulia nimegundua ni vile anaonekana ni tishio kwa walio wengi kwenye Urais baada ya Samia.

Jana alikuwa live kwenye kipindi cha mwaka mmja wa Rais akielezea mafanikio, changamoto na dira ya Wizara ya Nishati.

Maswali yote yanayoulizwaga humu jukwaani Kuhusu kukatika kwa umeme,sijui kuchelewesha Bwawa and such nonsense ameyajibu kwa weledi na evidences kabisa ndio maana hadi saizi huwezi akina Msukuma na genge lake wakiwa na hoja.

Swala la kwa nini awamu iliyopita umeme ulikuwa haukatiki uje kukatika sasa amelijibu vyema kabisa tena akaja na Takwimu na history ya masuala ya umeme.

Kwa jinsi nilivyomtathmini ni wazi anafaa kumrithi Samia,sijaona mtu mwingine yeyote wa kumzidi labda kwa mbali Mwigulu anaweza kumsogelea but Mwigulu ana ego na majivuno Sana.

Ngoja tuone mda utasema.

Hatoshi hata kidogo na hatishi kabisaaaaaaaaaaa!

Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
 
Kumekucha! Mnaanzaga hivi hivi kama mzaha.Hata Riz kuwa waziri mlianza hivi hivi
 
Bila kupoteza muda.

Ni hivi ukiangalia Baraza lote la Mawaziri la sasa mwanasiasa pekee mwenye ushawishi na mwenye traits za kuwa Rais ni January Makamba.

He seems to be well informed,anajiamiji,interactive na kichwani ni smart na anajua kuongea na kupangilia mambo.Kiufupi yuko smart na ana exposure ya kutosha.

Sio mtu wa mihemko wala kuendeshwa kirahisi rahisi na pressure za kisiasa.

Nimekuja kufuatilia kwa nini watu wanamshambulia nimegundua ni vile anaonekana ni tishio kwa walio wengi kwenye Urais baada ya Samia.

Jana alikuwa live kwenye kipindi cha mwaka mmja wa Rais akielezea mafanikio, changamoto na dira ya Wizara ya Nishati.

Maswali yote yanayoulizwaga humu jukwaani Kuhusu kukatika kwa umeme,sijui kuchelewesha Bwawa and such nonsense ameyajibu kwa weledi na evidences kabisa ndio maana hadi saizi huwezi akina Msukuma na genge lake wakiwa na hoja.

Swala la kwa nini awamu iliyopita umeme ulikuwa haukatiki uje kukatika sasa amelijibu vyema kabisa tena akaja na Takwimu na history ya masuala ya umeme.

Kwa jinsi nilivyomtathmini ni wazi anafaa kumrithi Samia,sijaona mtu mwingine yeyote wa kumzidi labda kwa mbali Mwigulu anaweza kumsogelea but Mwigulu ana ego na majivuno Sana.

Ngoja tuone mda utasema.

nenda ukapimwe dodoma mirembe wahi
 
Yuko smart and visionary, sema wakati mwingine mfumo unaweza kumfanya mtu akaonekana bogus.
vice versa is true...ni bogus sema mfumo unamfanya aonekane ni smart and visionary...
 
Yuko smart and visionary, sema wakati mwingine mfumo unaweza kumfanya mtu akaonekana bogus.

katiba ipi inasema waislam halafu wakristo mbona nyinyi wakatolic hamtaki rais kutoka kanisa kkt
 
Bila kupoteza muda.

Ni hivi ukiangalia Baraza lote la Mawaziri la sasa mwanasiasa pekee mwenye ushawishi na mwenye traits za kuwa Rais ni January Makamba.

He seems to be well informed,anajiamiji,interactive na kichwani ni smart na anajua kuongea na kupangilia mambo.Kiufupi yuko smart na ana exposure ya kutosha.

Sio mtu wa mihemko wala kuendeshwa kirahisi rahisi na pressure za kisiasa.

Nimekuja kufuatilia kwa nini watu wanamshambulia nimegundua ni vile anaonekana ni tishio kwa walio wengi kwenye Urais baada ya Samia.

Jana alikuwa live kwenye kipindi cha mwaka mmja wa Rais akielezea mafanikio, changamoto na dira ya Wizara ya Nishati.

Maswali yote yanayoulizwaga humu jukwaani Kuhusu kukatika kwa umeme,sijui kuchelewesha Bwawa and such nonsense ameyajibu kwa weledi na evidences kabisa ndio maana hadi saizi huwezi akina Msukuma na genge lake wakiwa na hoja.

Swala la kwa nini awamu iliyopita umeme ulikuwa haukatiki uje kukatika sasa amelijibu vyema kabisa tena akaja na Takwimu na history ya masuala ya umeme.

Kwa jinsi nilivyomtathmini ni wazi anafaa kumrithi Samia,sijaona mtu mwingine yeyote wa kumzidi labda kwa mbali Mwigulu anaweza kumsogelea but Mwigulu ana ego na majivuno Sana.

Ngoja tuone mda utasema.

Waislamu mnatudharau Sana wakristo
 
utapigwa mawe balaa....lakini ukweli ni kwamba dogo kichwa iko vizuri, amelelewa vizuri na inaonekana mamentor wake walikuwa wazuri..huwezi kumfananisha na vijana wengi wa umri wake walio kwenye mfumo au nje ya mfumo..

Mapungufu kila binadamu anayo...
 
Back
Top Bottom