Waziri Makamba ana "traits" za kuwa Rais baada ya Samia. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni

Acha. Utoto, nimeshakwambia hata kabla ya Kalemani kuondoka umeme ulishaanza kukatika katika hadi kituo kikubwa cha gas kililipuka kule kinyerezi sijui unaongea nini?

Pili Nongwa yenyewe ni demand kubwa kwa sababu ya uchumi kufunguliwa .

Wewe ndio unaleta blaa blaa wakati umepewa evidence za kisayansi.

Unaweza nipa evidence unazozijua wewe tofauti na zinazotolewa na Tanesco na Serikali?

Evidence niliyo kuwa nayo ni kuwa wakati wa JPM tatizo la umeme lilibakia kuwa historia. Wakati wa Makamba tatizo limekuwa ni habari ya mujini.
 
Makama For Presidency... Naunga mkono hoja
Hizi comment hazina afya njema kwa nchi wakati kuna sitting President in power.
This is deliberate insubordination.
Walau mgesubiri kipindi close to election kapeini other wise no otherwise.
 
Katika kinyang'anyiro cha kugombea nafasi ya urais ndani ya CCM mwaka 2015, walijitokeza wagombea wengi sana. January Makamba aliweza kuingia katika orodha ya tano bora huku majina makubwa ya makada wazoefu yakienguliwa kabla yake.

Jambo hili linadhihirisha jambo moja, pamoja na uchanga wake kwa wakati ule ndani ya chama chake, January bado alikuwa na ushawishi mkubwa. Kwa sasa bado anazidi kujijenga na kujiimarisha zaidi.

Licha ya kupata dhoruba ya kisiasa wakati ule wa JPM, pale alipodukuliwa akimteta kwa kumbagaza aliyekuwa bosi wake na hatimaye kuondolewa katika baraza la mawaziri. Lakini jambo hilo halikuweza kumtoa na kumtupa nje wa wigo wa siasa ndani ya chama chake.

Wote tunaiona "come back" yake, pale alipoitwa tena na Rais SSH kuhudumu katika wizara nyeti ya nishati. January si yule tena wa mwaka 2015, kwa sasa ni mwenye kujiamini, uthubutu, ubunifu, sifa ya mchapa kazi, sifa za ukweli na uwazi, mjengaji mzuri wa hoja, kutafuta kujifunza, kutokuishi kwa mazoea, sifa ya kuchukua hatua pale panapostahili ikiwemo kuwawajibisha wabadhirifu wa mali za umma na sifa nyingine za kadhaa.

January anaungwa mkono na viongozi wengi wastaafu, wazee wa chama na hata mfumo uliopo. Hii ndiyo sababu kubwa ya chuki za mahasimu wake dhidi yake. Huyu na Dr. Emmanuel Nchimbi ndiyo vipenzi wa mfumo, lakini January ana sifa ya ziada ya kuwa ni mzao wa baba ambaye ni Muislamu - BAKWATA na mama amvaye ni Mkristu - Mkatoliki.

But all in all, CDM ipo tayari kutwaa na kushika dola mwaka 2025. Hayo ya ngoswe tunawaachia ngoswe wenyewe.
Hakuwa na ushawishi bali alikuwa na backers, mmojawapo akiwa ni mwenyekiti wa Chama na mwingine akiwa katibu mkuu wa chama ambao walitumia machinery ya chama kumpandisha.
 
Naona majangili yanamtetea jangili mwenzao wa Tanesco kwenye huu uzi mtu ana kampuni ya kuagiza magenereta ulitaka amalize tatizo la umeme nyie endeleeni kutufanya wajinga kuna siku tutachoka kuvumilia maana hamna hoja zaidi ya propaganda.
 
Bila kupoteza muda.

Ni hivi ukiangalia Baraza lote la Mawaziri la sasa mwanasiasa pekee mwenye ushawishi na mwenye traits za kuwa Rais ni January Makamba.

He seems to be well informed,anajiamiji,interactive na kichwani ni smart na anajua kuongea na kupangilia mambo.Kiufupi yuko smart na ana exposure ya kutosha.

Sio mtu wa mihemko wala kuendeshwa kirahisi rahisi na pressure za kisiasa.

Nimekuja kufuatilia kwa nini watu wanamshambulia nimegundua ni vile anaonekana ni tishio kwa walio wengi kwenye Urais baada ya Samia.

Jana alikuwa live kwenye kipindi cha mwaka mmja wa Rais akielezea mafanikio, changamoto na dira ya Wizara ya Nishati.

Maswali yote yanayoulizwaga humu jukwaani Kuhusu kukatika kwa umeme,sijui kuchelewesha Bwawa and such nonsense ameyajibu kwa weledi na evidences kabisa ndio maana hadi saizi huwezi akina Msukuma na genge lake wakiwa na hoja.

Swala la kwa nini awamu iliyopita umeme ulikuwa haukatiki uje kukatika sasa amelijibu vyema kabisa tena akaja na Takwimu na history ya masuala ya umeme.

Kwa jinsi nilivyomtathmini ni wazi anafaa kumrithi Samia,sijaona mtu mwingine yeyote wa kumzidi labda kwa mbali Mwigulu anaweza kumsogelea but Mwigulu ana ego na majivuno Sana.

Ngoja tuone mda utasema.

Huyo hafai kabisa labda abebwe Kwa mbeleko umeme, mafuta na gesi vimemshinda akipewa nchi ataiweza?
 
Nje ya mada kidogo:

Mimi naamini kundi kubwa la watanzania "tuna uwezo mdogo".

Tuna uwezo mdogo wa kiakili.
Tuna uwezo mdogo wa kifedha.
Tuna uwezo mdogo kwenye mambo mengine meeengi sana.

Hali hiyo inatupelekea tuwe watu wa "jumla jumla" na "juu juu".

Tunakosa ufanisi na ubobevu katika karibia kila tunalolitenda.

Hatuna ufanisi na ubobevu kwenye kilimo, biashara, uchimbaji, uvuvi, ufugaji, elimu, mijadala na mambo mengine "chungunzima".

Tazama kama hapa JF, ni members wachache sana wanaweza kujadili jambo (lolote lile) kwa hoja. Iwe ni kwenye Michezo, Mahusiano, Biashara, Siasa, n.k

Nimefuatilia uzi wako tangu mwanzo, naona ni wachache sana au hakuna kabisa anayeweka hoja mezani kukupinga katika mawasilisho yako.

Wengi wetu "tumejikita" katika "jumla jumla na juu juu" tu....

Mara oooh uwaziri umemshinda, mara aliiba mtihani, mara awe Rais wa wasafi, mara wewe chawa wake, mara ooh bora tumpe huo Urais Steve Nyerere, mara tunataka Mkristo, n.k .....
Hivi vitu wewe umeviita "Nonsense".

Mimi nitaviita ndio utanzania wenyewe.

Safari ni ndefu sana.
Uzi pamoja na wachangia hoja ni kama tunasema kuwa Rais ajaye atatokea CCM
 
Hakuwa na ushawishi bali alikuwa na backers, mmojawapo akiwa ni mwenyekiti wa Chama na mwingine akiwa katibu mkuu wa chama ambao walitumia machinery ya chama kumpandisha.
Mkuu, hicho ulichokieleza ni ushawishi pia.
 
Bila kupoteza muda.

Ni hivi ukiangalia Baraza lote la Mawaziri la sasa mwanasiasa pekee mwenye ushawishi na mwenye traits za kuwa Rais ni January Makamba.

He seems to be well informed,anajiamiji,interactive na kichwani ni smart na anajua kuongea na kupangilia mambo.Kiufupi yuko smart na ana exposure ya kutosha.

Sio mtu wa mihemko wala kuendeshwa kirahisi rahisi na pressure za kisiasa.

Nimekuja kufuatilia kwa nini watu wanamshambulia nimegundua ni vile anaonekana ni tishio kwa walio wengi kwenye Urais baada ya Samia.

Jana alikuwa live kwenye kipindi cha mwaka mmja wa Rais akielezea mafanikio, changamoto na dira ya Wizara ya Nishati.

Maswali yote yanayoulizwaga humu jukwaani Kuhusu kukatika kwa umeme,sijui kuchelewesha Bwawa and such nonsense ameyajibu kwa weledi na evidences kabisa ndio maana hadi saizi huwezi akina Msukuma na genge lake wakiwa na hoja.

Swala la kwa nini awamu iliyopita umeme ulikuwa haukatiki uje kukatika sasa amelijibu vyema kabisa tena akaja na Takwimu na history ya masuala ya umeme.

Kwa jinsi nilivyomtathmini ni wazi anafaa kumrithi Samia,sijaona mtu mwingine yeyote wa kumzidi labda kwa mbali Mwigulu anaweza kumsogelea but Mwigulu ana ego na majivuno Sana.

Ngoja tuone mda utasema.

Tatizo la dogo ni mnafiki kama baba yake.
 
-Kwani Amesema nini kuhusu wananchi kutojengewa service line mpya toka January 2022 mpaka hivi leo.
-kwani amesaje kuhusu upatikanaji wa nyaya za 50mm mfano hai Kuna rafiki yangu na wateja wengine, wengi Sana zimesimikwa nguzo bila kuunganishwa wire wa 50 mm kutoka ulipoishia umeme kwenda kwenye nguzo hizo toka October 2021 mpaka March 2022 wameshindwa kupata wire.
-Mfano hai, nenda TANESCO Chanika (Mkoa wa Ilala ki-tanesco).
-Kama taasisi yake ya TANESCO imeshindwa kuagiza nyaya za 50mm miezi 6 ataweza kuongoza nchi.
- Maswali ya Jana (waandishi wanne wa kwanza) na majibu, ni yakupangwa, ndiyo maana hata waongozaji wa kipindi walikuwa wanaita kwa majina wauliza maswali na wakiona,wewe siyo mtu wao,hupewi nafasi ya kuuliza swali.
-Kilichofanyika ni usanii au maigizo tu.
-Tanesco sijui wanakwama wapi kuhusu kutoa huduma kwa wateja wapya?
-Mradi wa LIquified Gas, ambao ulipangwa kutekelezwa Mitwelo Lindi sijui umeidhia wapi, wananchi wamelilwa fidia tayari.
-Jana nimesikia mpango wa kuleta meli yenye uwezo wa kubeba Lita 45,000 mara moja badala ya sasa tunapoagiza lita 7,000 ambayo husababisha kupanda gharama za bei ya gesi.
 
Mkuu, hicho ulichokieleza ni ushawishi pia.
Siyo ushawishi; alikuwa beneficiary wa nepotism ambayo ndiyo sumu tusiyotaka ipandikizwe kwenye mfumo wa utawala. Tukiiendeleza, basi mwishowe viongozi watakuwa wanatoka kwenye ukoo wa Makamba na Kikwete tu, jambo ambalo litaanza kujenga mpasuko kwenye jamii kama ambavyo Kenya walipasuana kwa kuwa na utaratibu uliokuwa unatoa viongozi kwenye kabila moja tu, tena siyo ukoo.
 
Bila kupoteza muda.

Ni hivi ukiangalia Baraza lote la Mawaziri la sasa mwanasiasa pekee mwenye ushawishi na mwenye traits za kuwa Rais ni January Makamba.

He seems to be well informed,anajiamiji,interactive na kichwani ni smart na anajua kuongea na kupangilia mambo.Kiufupi yuko smart na ana exposure ya kutosha.

Sio mtu wa mihemko wala kuendeshwa kirahisi rahisi na pressure za kisiasa.

Nimekuja kufuatilia kwa nini watu wanamshambulia nimegundua ni vile anaonekana ni tishio kwa walio wengi kwenye Urais baada ya Samia.

Jana alikuwa live kwenye kipindi cha mwaka mmja wa Rais akielezea mafanikio, changamoto na dira ya Wizara ya Nishati.

Maswali yote yanayoulizwaga humu jukwaani Kuhusu kukatika kwa umeme,sijui kuchelewesha Bwawa and such nonsense ameyajibu kwa weledi na evidences kabisa ndio maana hadi saizi huwezi akina Msukuma na genge lake wakiwa na hoja.

Swala la kwa nini awamu iliyopita umeme ulikuwa haukatiki uje kukatika sasa amelijibu vyema kabisa tena akaja na Takwimu na history ya masuala ya umeme.

Kwa jinsi nilivyomtathmini ni wazi anafaa kumrithi Samia,sijaona mtu mwingine yeyote wa kumzidi labda kwa mbali Mwigulu anaweza kumsogelea but Mwigulu ana ego na majivuno Sana.

Ngoja tuone mda utasema.

Labda raisi wa kondegang
 
Labda useme kwamba alikua na ushawishi usio wa haki au ushawishi haram.

Lakini as long as "alikua na watu" ambao kwa namna yoyote ile aliwatumia on his favor, basi kisiasa alikua na ushawishi.
 
Huo siyo ushawishi bali ni coercion; wajumbe walikuwa coerced na wazazi wake waliokuwa madarakani ili wampigie, siyo kwa sababu aliwashawishi wajumbe hao eti wampigie. No!
 
Bila kupoteza muda.

Ni hivi ukiangalia Baraza lote la Mawaziri la sasa mwanasiasa pekee mwenye ushawishi na mwenye traits za kuwa Rais ni January Makamba.

He seems to be well informed,anajiamiji,interactive na kichwani ni smart na anajua kuongea na kupangilia mambo.Kiufupi yuko smart na ana exposure ya kutosha.

Sio mtu wa mihemko wala kuendeshwa kirahisi rahisi na pressure za kisiasa.

Nimekuja kufuatilia kwa nini watu wanamshambulia nimegundua ni vile anaonekana ni tishio kwa walio wengi kwenye Urais baada ya Samia.

Jana alikuwa live kwenye kipindi cha mwaka mmja wa Rais akielezea mafanikio, changamoto na dira ya Wizara ya Nishati.

Maswali yote yanayoulizwaga humu jukwaani Kuhusu kukatika kwa umeme,sijui kuchelewesha Bwawa and such nonsense ameyajibu kwa weledi na evidences kabisa ndio maana hadi saizi huwezi akina Msukuma na genge lake wakiwa na hoja.

Swala la kwa nini awamu iliyopita umeme ulikuwa haukatiki uje kukatika sasa amelijibu vyema kabisa tena akaja na Takwimu na history ya masuala ya umeme.

Kwa jinsi nilivyomtathmini ni wazi anafaa kumrithi Samia,sijaona mtu mwingine yeyote wa kumzidi labda kwa mbali Mwigulu anaweza kumsogelea but Mwigulu ana ego na majivuno Sana.

Ngoja tuone mda utasema.

Siku CCM wakijiroga wakampitisha huyo tapeli mbabaishaji ndo wataujua huo upole wa watamzania
 
Tunaenda na Samia hadi kieleweke. Awamu za ME ziligubikwa na wizi wa mabilioni mengi sana na sasa chini ya Samia hakuna wizi wa hela,hivyo TUNAIMANI NAE
 
Waziri haamui kila kitu Serikalini,alisema hadi kuwe na stability ni mpaka wakamilishe kubadili dilapidated structures zote na unfortunately zinachukua zaidi ya til.4.

Na alikuwa clear kwamba hawezi toa timeline kwa sababu ni ishu ya pesa na akasema hawezi kuwadanganya wakati ukweli ndio huo.

Hoja ya sijui kama mtangulizi wake aliijibu vizuri sana kwamba, Serikali ya awamu ya 6 imekuwa mhanga wa mafanikio,alitunyesha graph ya demand kuanzia 2016 hadi 2021,kitu ambacho wengi Tulikuwa hatujui ni ukweli kwamba uchumi ulianguka kipindi cha Mwendazake hivyo na demand ya umeme iliporomoka hivyo loading ya systems za usambazaji ilikuwa ndogo.

Lakini kuanzia 2020 Kasi ya uchumi ilikuwa zaidi na hivyo mahitaji ya umeme yako juu hivyo loading kwenye distribution imeongezeka na mifumo kuzidiwa hivyo ndio maana kuna kukatika katika kwa umeme.

Mwisho alielezea kwamba Hali hii ndio ilitokea awamu ya 4 kwa sababu kipindi cha MKapa walifikia uamzi kimakosa wa kubinafsishwa Tanesco na Kwa miaka 10 mfululizo hakuna uwekezaji wala planning uliofanywa hivyo kupelekea kuwa na tatizo kubwa la umeme awamu ya 4 kwa sababu demand ilikuwa juu kutokana na ukuaji mkubwa wa Uchumi..

Kwa hiyo wanachofanya sasa ni kuziba viraka kulikosababishwa na Hali ya careless iliyofanywa awamu ya 5.Huu ni ukweli mchungu na ni logical.

Nakumbuka hata Kalemani kabla ya kuondolewa uwaziri mwisho I huku umeme ukianza kusumbua hivyo hivyo kiasi kwamba hata Makamba alivyoingia alianza na mikwara hiyo hiyo nadhani baada kujua Hali halisi ndio maana huwezi sikia mikwara ya sijui kufukuza meneja and such nonsense.

Hata wewe jamaa saizi ukipelekwa Tanesco hakuna cha maana itafanya ikiwa ukweli ndio huu,so serikali na Rais walikuwa sahihi kubadili uongozi wa Tanesco kwa kulea uzembe kwa miaka yote 6.
Huu ndiyo ukweli wenyewe ijapokuwa ni mchungu sana kuupokea. Jamaa aliitwa Bulldozer kwa kuwa alitumia njia za mabavu kulazimisha matokeo anayotaka, pasipo hata kujali athari za muda mrefu zitakazokuja kujitokeza.

Amri ilikuwa kidole na kauli yake. Kwa yeye ni "Yure mupe, yure muruke"
 
Mtoa post Mara ya mwisho kumuona daktari wako ilikuwa lini?

Tatizo lako unapitiliza muda huwezi kupona ukiendelea hivi.

Tatizo lako bado linaweza kupata tiba huwezi kuendelea kuota ndoto mbaya hivi!
😃😃😃
 
Back
Top Bottom