Waziri Makamba anaihujumu Royal Tour ya Rais Samia iliyotumia mabilioni

Waziri Makamba anaihujumu Royal Tour ya Rais Samia iliyotumia mabilioni

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
Salama wandugu.

Nianze tu kwa kifupi Royal tour msingi wake mkubwa ni kuvutia wawekezaji.

Msingi wa mwekezaji namba moja ni nishati,sasa makamba anachofanya ni kumhujumu bosi wake umeme wake wa kwikwi usioeleweka.

Wanafikiri wanawakomoa wananchi kumbe wanamkoa bosi wao.

At the end of time watatafutana mchawi nani, kumbe kikulacho kinguani mwako

Sisi tumeshazoea tunaendesha biashara kwa hasara maana sisi wengine hatuwezi kuongeza bei kufix magepu.

Lakini Makamba anapambwa kwa Maua mazuri na bosi wake.

Aluta kontinua....2025
 
Kwani Netflix inaendesha mitambo yake kutumia umeme wa tanzania.

Labda hivo basi ulaya huko na kwengine netflix imestop.
 
Back
Top Bottom