johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Waziri wa Nishati January Makamba ametembelea Kisiwa cha Ukara na kuwaahidi watapata bei mpya ya Umeme yenye unafuu kuanzia August Mosi 2022.
Pia Makamba ameongea na mwekezaji wa Umeme hapo Ukara na kumtaka aongeze muda wa kusupply Umeme tofauti na saa 12 kama anavyofanya sasa.
Wananchi wa Ukara wamemshukuru Makamba na kusema ujio wake ni baraka kwao kwani wao ni nadra sana kutembelewa na Viongozi, wamtabiria makubwa yenye heri kwenye safari yake ya Kisasa.
Chanzo: ITV habari