Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Nimekuwa nikifatilia ziara za huko mikoani ambapo Waziri wa Nishati, Januari Makamba akihamasisha na namna ya kutumia nishati ya gesi na kupunguza matumizi ya mkaa na kuni.
Katika ziara yake amekuwa akigawa mitungi ya Taifa gas inayomilikiwa na mfanyabiashara Rostam Aziz.
Naona kama Mh. Makamba kaamua kuipigia debe kampuni binafsi ya Taifa gas, kwanini asitumie na mitungi ya kampuni nyinginezo?
Naombeni mnijuze