Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Labda mh ni afisa masoko wa taifa gas,pia kaona huku alikoenda kuna soko kubwa.Nimekuwa nikifatilia ziara za huko mikoani ambapo Waziri wa Nishati, Januari Makamba akihamasisha na namna ya kutumia nishati ya gesi na kupunguza matumizi ya mkaa na kuni.
Katika ziara yake amekuwa akigawa mitungi ya Taifa gas inayomilikiwa na mfanyabiashara Rostam Aziz.
Naona kama Mh. Makamba kaamua kuipigia debe kampuni binafsi ya Taifa gas, kwanini asitumie na mitungi ya kampuni nyinginezo?
Naombeni mnijuzeView attachment 2293239
Ina rangi ya CCM ila siku hizi pesa zinachotwa tu bila kupangwa na bunge, nchi ya chama kimoja.Nimekuwa nikifatilia ziara za huko mikoani ambapo Waziri wa Nishati, Januari Makamba akihamasisha na namna ya kutumia nishati ya gesi na kupunguza matumizi ya mkaa na kuni.
Katika ziara yake amekuwa akigawa mitungi ya Taifa gas inayomilikiwa na mfanyabiashara Rostam Aziz.
Naona kama Mh. Makamba kaamua kuipigia debe kampuni binafsi ya Taifa gas, kwanini asitumie na mitungi ya kampuni nyinginezo?
Naombeni mnijuzeView attachment 2293239
Kutumia mitungi mingine;hayo yataamliwa na wananchi wenyewee kwa gharama zao baada ya kubaini nafuu kwenye makampuni hayo.Tatizo la waziri li wapi?Yani kutwa kuwaza upigaji tuNimekuwa nikifatilia ziara za huko mikoani ambapo Waziri wa Nishati, Januari Makamba akihamasisha na namna ya kutumia nishati ya gesi na kupunguza matumizi ya mkaa na kuni.
Katika ziara yake amekuwa akigawa mitungi ya Taifa gas inayomilikiwa na mfanyabiashara Rostam Aziz.
Naona kama Mh. Makamba kaamua kuipigia debe kampuni binafsi ya Taifa gas, kwanini asitumie na mitungi ya kampuni nyinginezo?
Naombeni mnijuzeView attachment 2293239
Lake GAS tumehujumiwaNimekuwa nikifatilia ziara za huko mikoani ambapo Waziri wa Nishati, Januari Makamba akihamasisha na namna ya kutumia nishati ya gesi na kupunguza matumizi ya mkaa na kuni.
Katika ziara yake amekuwa akigawa mitungi ya Taifa gas inayomilikiwa na mfanyabiashara Rostam Aziz.
Naona kama Mh. Makamba kaamua kuipigia debe kampuni binafsi ya Taifa gas, kwanini asitumie na mitungi ya kampuni nyinginezo?
Naombeni mnijuzeView attachment 2293239
Dalali huyo..hata usihangaike naye..kesha pesa 10% hapo.Nimekuwa nikifatilia ziara za huko mikoani ambapo Waziri wa Nishati, Januari Makamba akihamasisha na namna ya kutumia nishati ya gesi na kupunguza matumizi ya mkaa na kuni.
Katika ziara yake amekuwa akigawa mitungi ya Taifa gas inayomilikiwa na mfanyabiashara Rostam Aziz.
Naona kama Mh. Makamba kaamua kuipigia debe kampuni binafsi ya Taifa gas, kwanini asitumie na mitungi ya kampuni nyinginezo?
Naombeni mnijuzeView attachment 2293239
Shida sioniNimekuwa nikifatilia ziara za huko mikoani ambapo Waziri wa Nishati, Januari Makamba akihamasisha na namna ya kutumia nishati ya gesi na kupunguza matumizi ya mkaa na kuni.
Katika ziara yake amekuwa akigawa mitungi ya Taifa gas inayomilikiwa na mfanyabiashara Rostam Aziz.
Naona kama Mh. Makamba kaamua kuipigia debe kampuni binafsi ya Taifa gas, kwanini asitumie na mitungi ya kampuni nyinginezo?
Naombeni mnijuzeView attachment 2293239
Hana uwezo si unajua is by default,huko kwao hawana namna Mana wanatishiwa huyu familia yao inafahamika ivyo mtasaidiwa.Kiukweli tz kuna maajabu ya dunia.ukimsilikza ndugu makamba anaongea huwezi amin Kama ni waziri waziri.mipasho kwa saaana na utani mwingi kwenye vitu vya msingi.kwa nini anakuwa na kigugumizi??ata kama jamani hii nchi wananchi tunaidhalilisha.
Kwani humjuwi Rostam? Na connection na hao majamaa... I love idaraNimekuwa nikifatilia ziara za huko mikoani ambapo Waziri wa Nishati, Januari Makamba akihamasisha na namna ya kutumia nishati ya gesi na kupunguza matumizi ya mkaa na kuni.
Katika ziara yake amekuwa akigawa mitungi ya Taifa gas inayomilikiwa na mfanyabiashara Rostam Aziz.
Naona kama Mh. Makamba kaamua kuipigia debe kampuni binafsi ya Taifa gas, kwanini asitumie na mitungi ya kampuni nyinginezo?
Naombeni mnijuzeView attachment 2293239
Next mimi keep coolLIST OF LICENSED LPG WHOLESALERS IN TANZANIA AS OF SEPTEMBER 2020
Source: EWURA
- Manjis Logistics Limited of P.O. Box 3110 Arusha
- Camel Oil (T) Limited
- Acer Petroleum (T) Ltd
- KMJ Limited, P.O. Box 20139 Dar es Salaam
- Taifa Gas Tanzania Ltd, P.O. Box 77578 Dar es Salaam
- Hamgas Company Limited of P. O. Box 4878 Dar es Salaam
- Manjis Gas Supply Company Ltd of P.O Box 41088 Dar es salaam
- Manjis Logistics Limited of P.O. Box 3110 Arusha
- Oilcom (T) Limited of P. O. Box 20831 Dar es Salaam
- Lake Gas Limited of P.O. Box 5055 Dar es Salaam
- Oryx Gas Tanzania Limited of P.O. Box 9540 Dar es Salaam
- Orange Gas Limited of P.O. Box 12318 Arusha