Waziri Makamba: Sasa Serikali itanunua shehena ya mafuta moja kwa moja kutoka kwa wazalishaji

Unasema sokoni bei ni dola 86 kwa pipa, tpdc wanatuletea kwa dola 20 kwa tani za ujazo. Sasa wengine tunapata ugumu kuelewa maana hatujui uhusiano Kati ya pipa na tani za ujazo.
 
Huyu jamaa simwamini kabisa ana maneno matamu sana ya kisiasa.
 
Siasa tu hizi....kama ingewezekana JPM asingeacha kutekeleza hili kwa sababu alikuwaga na bifu na madalali. Sasa Makamba marafiki zake na mabosi wake wa zamani ndo wenye filling stations ataanzia wapi kuwageuka?

Huyo JPM ni Mungu afanye kila kitu. Mnamtukuza sana wakati ni failure mmoja aliyejificha kwenye kivuli cha wanyonge.
 
Kaja na begi la umeme tuende kumpokea au
Mheshimiwa January Makamba kama utaweza kuiongoza hii Wizara na watanzania wakapata umeme wa uhakika na bei ya mafuta nzuri watanzania tutakufikiria wewe kuwa mgombea urais 2030 kupitia CCM. Tunataka kuona Tanesco inaingia kwenye soko la hisa na ikiendeshwa kwa faida
 
Bei petrol Kwa litre ishuke at least 1800 per litre
 
Hongera sana
Ikimpendeza afikirie kufufua kiwanda cha kuchakata mafuta kilikuwaga Kigamboni enzi za Mwalimu Nyerere
Au pengine, aweke kingine Tanga ili tuchakate mafuta yakutokea Uganda.
Naamini technologia ya kuchakata mafuta sio kubwa sana hiyo bei itashuka sana ila pia tutapata Lami kama end products
 

Uko sahihi, huenda hili litafanyika kibiashara kwa maana TPDC kubaki na faida kubwa zaidi tu. Yaani wameamua hiyo faida isiende kwa wafanyabishara!! Tutaambiwa tunauziwa stock ya zamani!! Sio mafuta yakiwa juu soko la dunia halafu sisi tunapunguza bei hiyo kwa mlaji. Naona punguzo kidogo sana la bei na TPDC kuwa wafanyabiashara kama Tanesco na wenzie pendwa!!
 
Mheshimiwa waziri kwa hili la kuondoa mtu kati kwenye uagizaji wa mafuta ukifanikiwa utakuwa umewasaidia sana watanzania. Mungu akusaidie maana najua mpambano wake si wa kitoto.
Jinga kweli wewe,mtu kajitengenezea zake 10% afu unasemaje!!
 
Hivi siku hizi marafiki zetu ni hao waarabu na sio wale wa kiitikadi kama zamani?
Sasa ukiwaleta hao waarabu kuwekeza kituo cha kuhifadhi mafuta yaliyosafishwa na TIPER itakua inafanya kazi gani?
Tulifikiri la msingi ni kuweka mkakati kujenga refinery kama ilivyokua zamani ili kupunguza gharama kwa kununua mafuta ghafi na kuleta ajira nchini na kuhakikisha gharama ya mafuta inakua chini.
Wenzetu kenya waligoma kuua refinery yao mombasa ila sisi kwa ujinga na ubinafsi wa viongozi waroho tukakubali kuua refinery yetu.
 
😍
 
Mbona zamani walikuwa wafanya biashara walinunua in bulk sasa nini kimebadilika hapo.
 
Kanti yu samaraizi?
Tuu long andi too selofu promo
 
Ubunifu huu kalamaji alikua haujui. Yeyeilikua anajua kutumbua wachaga tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…