Waziri Makamba: Sasa Serikali itanunua shehena ya mafuta moja kwa moja kutoka kwa wazalishaji

Waziri Makamba: Sasa Serikali itanunua shehena ya mafuta moja kwa moja kutoka kwa wazalishaji

Habari nzuri sana hii.Huu ndio ubunifu.Huyu Waziri wetu,ni mchapakazi na mbunifu.
Umeuona ubunifu wa waziri wetu ulipotufikisha.Mimi nikipewa neno mmoja tu la kumuongelea January Makamba hakuna zaidi ya neno MUONGO.
 
KATIKA mawaziri takataka hili jamaa ni hovyo sana lilitumia Kodi zetu hkna Cha kuleta eese Wala nni
 
Back
Top Bottom