Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Amesema kwa miaka sita hayakufanyika.Matengenezo ya kila siku toka uingie kwenye hiyo nafasi?. Ndio matengenezo gani hayo?. Hata kipindi cha Magu matengenezo yalikuwepo. Lakini sio kama hayo yenu
Kwani siku zote huu ukarabati ulikuwa wamsubiri Makamba?Ndio ukweli huo,hao tpsf watoe pesa basi kama wanataka umeme usikatike.
Ikumbukwe mifumo ya umeme imezidiwa na Kuna Kati ya transfer 27,000 zilizopo zaidi ya transfer 10,000 zinatakiwa kubadilisha zote.
Pili matengenezo kiujumla yanahitaji zaidi ya til.4 Ili umeme urejee vizuri.
KView attachment 2165895
Umeelewa kwamba haukufanyika miaka 6 yote? Umeelewa kwamba demand imeongezeka zaidi kwa kukua kwa Uchumi kuliko awamu iliyopita?Kwani siku zote huu ukarabati ulikuwa wamsubiri Makamba? Au ndio ile tabia ya kujiona yeye yuko bright sana na kukunja nne.
Bro hao wanaofanya ukarabati na Makamba sasa, walikuwa mtaani na wakaingizwa kazini alipoteuliwa Makamba? Tuache uongo.Umeelewa kwamba haukufanyika miaka 6 yote? Umeelewa kwamba demand imeongezeka zaidi kwa kukua kwa Uchumi kuliko awamu iliyopita?
Una uhakika wewe ukiteuliwa utadhibiti umeme kukatika?
Unaongea nini wewe? Soma hoja afu uulize tena hujaeleweka.Bro hao wanaofanya ukarabati na Makamba sasa, walikuwa mtaani na wakaingizwa kazini alipoteuliwa Makamba? Tuache uongo.
Wewe ni January Makamba, issue ya umeme sio siasa ni uchumi.Na ndicho kaongea hata kama inauma,Miaka 6 iliyopita licha ya uchumi kushuka lakini Tanesco haiku repair mitambo ikawa busy na Bwawa la Nyerere matokeo yake uchumi ulivyofunguka demand ya umeme imeongezeka na mitambo imezidiwa.
Mzee lazima unamaslahi na huyu mtu. Mbona kila msg una jibu. Kuna hela unapokea ?Kwani wewe ndio kipimo cha kuwakubali mawaziri? [emoji2][emoji2]
Mlaumuni Mwendazake aliyewekeza kwenye Bwawa bila repair na aliyeharibu uchumi haya ndio madhara yake.
Hali hii ndio ilimkumba JK kwa sababu MKapa hakufanywa uwekezaji kwenye umeme mahitaji makubwa yakatokea awamu ya 4 matokeo yake ni umeme wa dharura wa majenereta.
Huyo wa fedha anabebwa na skafu na tie tu ila ni mweupeKabisa ni kinyaa. Huyu na wa fedha sijawahi kuwakubali. Wameweka maslahi yao mbele
Ujinga kwa mujibu wa nani?Unatumia nguvu kubwa sana kutetea ujinga
Magazeti na mitandao imenunuliwa hamna kukosoa
Yes mkuu samahani nimechukua muda kukujibu, jibu ni Gas mkuunimeuliza swali langu makusudi na kama unajua ni bora useme ili tuanzie hapo...
Anatumia nguvu,bila akiliUnatumia nguvu kubwa sana kutetea ujinga
Yes source of power 🔋 inaweza kuwa ni gas (anbayo tunayo ya kutosha, zile za diesel zipo out of our touch, mafuta kwa bei ya sasa itatusumbua mno)umetaja meli, lakiji unajua huko kwenye meli huo umeme unazalishwa na nini? source of power namaanisha...
Nani kakuambia serikali ndio itakupa umeme wa bei rahisi na sijui kwanini unaamini hivyo maana hatujawahi kuuona kwa zaidi ya miaka 50 TANESCO ilipoanza , nchi nyingi tuu sector ya umeme ni private sector na bei ipo chini na umeme wa kuaminika kuliko hao TANESCO, mlisema same thing kuhusu makampuni ya simu, acheni mawazo ya kitumwaBei ya private sector utaiweza?